Video ya Masauni ikitoa onyo juu ya uhuru wa kutoa maoni yaondolewa mtandaoni

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao.

Baada ya onyo hili kali lililotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani Hamadi Masauni akiwa akizungumza na wanachama wa CCM Tawi la Kikwajuni Jimbo la Kinondoni jana tar 9/8/2023 kuwaambia wananchi wajiangalie wanapotoa maoni na kutoa agizo kwa Jeshi la polisi kuwachukulia hatua kali watu wanaohatarisha 'usalama wa taifa', wananchi wamesimamia vizuri uhuru wao wa kujieleza uliohakikishwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Toka tamko hilo litoke Watanzania masimama kidete, kiasi kwamba video hiyo imeondolewa YouTube, na hata baadhi ya vyombo vya habari vilivyokuwa vimerekodi tamko hilo pia kuliondoa kwenye vyombo vyao. Naona Azam wamejisahau tu, na wenyewe wangelishusha fasta.

Serikali, badala ya kuzuia watu kutoa maoni yao na kuwapangia vitu vya kuongea, wanatakiwa kulinda watu kutoa maoni yao bila hofu na kuwa tayari kupokea maoni na kurekebisha pale wanapokosea ili nchi iende vizuri. Kukataa kukosolewa kwa jina la 'Usalama kulinda Usalama wa Taifa' ni kunyima wananchi haki yao ya msingi na uhuru wao wao wa kujieleza

Ngoja tuweke kumbukumbu kwa vitabu vyetu ya aina ya viongozi tulionao.

View attachment 2682925
Mbona lipo
 
Wazanzibar wametuuza na Mzanzibar mwingine anataka kutunyamazisha
 
Huyu si mzanzibar anaongelea Taifa Gani?
 
Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao.

Baada ya onyo hili kali lililotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani Hamadi Masauni akiwa akizungumza na wanachama wa CCM Tawi la Kikwajuni Jimbo la Kinondoni jana tar 9/8/2023 kuwaambia wananchi wajiangalie wanapotoa maoni na kutoa agizo kwa Jeshi la polisi kuwachukulia hatua kali watu wanaohatarisha 'usalama wa taifa', wananchi wamesimamia vizuri uhuru wao wa kujieleza uliohakikishwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Toka tamko hilo litoke Watanzania masimama kidete, kiasi kwamba video hiyo imeondolewa YouTube, na hata baadhi ya vyombo vya habari vilivyokuwa vimerekodi tamko hilo pia kuliondoa kwenye vyombo vyao. Naona Azam wamejisahau tu, na wenyewe wangelishusha fasta.

Serikali, badala ya kuzuia watu kutoa maoni yao na kuwapangia vitu vya kuongea, wanatakiwa kulinda watu kutoa maoni yao bila hofu na kuwa tayari kupokea maoni na kurekebisha pale wanapokosea ili nchi iende vizuri. Kukataa kukosolewa kwa jina la 'Usalama kulinda Usalama wa Taifa' ni kunyima wananchi haki yao ya msingi na uhuru wao wao wa kujieleza

Ngoja tuweke kumbukumbu kwa vitabu vyetu ya aina ya viongozi tulionao.

View attachment 2682925
Ushauri!

Kwa kuwa alikuwa akiongea kama Waziri na siyo kiongozi wa CCM, angevaa mavazi yasiyofungamana na Chama cho chote cha Siasa.

Ni mtazamo wangu tu lakini!!!
 
Wakosoaji wamejiingiza wenyewe mtegoni kufungua kesi.

Unajuwa wazi wanapotosha, tumia hiyo fursa ya mahakama kumaliza upotoshaji wao.

Baada ya hapo mrushie mpira DPP na jeshi la polisi; yeyote anaendelea na upotoshaji mpe kesi ya seditious and hate crime dhidi ya wazanzibari.

Sinema ndefuuu upuuzi mtupu serikali inachekea na kubembeleza bembeleza.

Huyo mama asiharibu nchi kulazimisha kazi asiyoiweza; 2025 aachie wenye uwezo kudra za mwenyezi mungu zinatosha.
 
Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao.

Baada ya onyo hili kali lililotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani Hamadi Masauni akiwa akizungumza na wanachama wa CCM Tawi la Kikwajuni Jimbo la Kinondoni jana tar 9/8/2023 kuwaambia wananchi wajiangalie wanapotoa maoni na kutoa agizo kwa Jeshi la polisi kuwachukulia hatua kali watu wanaohatarisha 'usalama wa taifa', wananchi wamesimamia vizuri uhuru wao wa kujieleza uliohakikishwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Toka tamko hilo litoke Watanzania masimama kidete, kiasi kwamba video hiyo imeondolewa YouTube, na hata baadhi ya vyombo vya habari vilivyokuwa vimerekodi tamko hilo pia kuliondoa kwenye vyombo vyao. Naona Azam wamejisahau tu, na wenyewe wangelishusha fasta.

Serikali, badala ya kuzuia watu kutoa maoni yao na kuwapangia vitu vya kuongea, wanatakiwa kulinda watu kutoa maoni yao bila hofu na kuwa tayari kupokea maoni na kurekebisha pale wanapokosea ili nchi iende vizuri. Kukataa kukosolewa kwa jina la 'Usalama kulinda Usalama wa Taifa' ni kunyima wananchi haki yao ya msingi na uhuru wao wao wa kujieleza

Ngoja tuweke kumbukumbu kwa vitabu vyetu ya aina ya viongozi tulionao.

View attachment 2682925
Ujumbe umefika na vilio tayari vinasikika hapa na pale 🤣🤣
 
Mp****vu huyo. Aende kwao Zanzibar
Huyu asili yake ni kutoka Mafia, - baba yake alihamia Zanzibar akitokea Mafia 'late 1960s.
baba yake alitwa Yussuf Masouni alifanyakazi uhamiaji Zanzibar, pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchagzi (ZEC) miaka 2000.

Huyu jamaa ni chuki tupu kichwani, aliwahi kuwa naibu wazi, wakati wa uwaziri wa mambo ya ndani na yule jamaa aliyekitembea na ilani ya CCM mifukoni na kwenye bunge akikata viono..
 
Back
Top Bottom