Hebu fafanua hapo kwenye kuingiza kichwaHaya ni mambo ya kiimani zaidi,wapo wanaobusu mawe,wanaorusha mawe,wanaoingiza vichwa sijui wapi basi alimradi tu imani ya mtu.
Hapo haiongelewi imani halisi, unaongelewa utapeli wa imani.Haya ni mambo ya kiimani zaidi,wapo wanaobusu mawe,wanaorusha mawe,wanaoingiza vichwa sijui wapi basi alimradi tu imani ya mtu.
Kuna video ipo humu humu watu wanashindana kuingiza vichwa kwenye upande wa kaaba.Hebu fafanua hapo kwenye kuingiza kichwa
Hii ni issue ya content creato kupata followers tuDah.. wanunuzi wamo maprofessor, madkt, engineer nk
Yote tu ni yale yale tu, msingi mkuu ni uleule tu,kuamini jambo ukirusha jiwe unampiga shetani,#tafakariHapo haiongelewi imani halisi, unaongelewa utapeli wa imani.
Ukitaka kutajirika wewe anzisha kanisa bongo wajinga ni wengine hakuna cha profesa wala daktari wote ni empt headed.wabongo kichwani ni watupu unanunua je mchanga ndo maana mwamposa aliishaona sehemu ya kupiga pesa ni kanisa ni.Dah.. wanunuzi wamo maprofessor, madkt, engineer nk
Aanh sawa nilidhani kuna iman mpya nianze kuifanyia researchKuna video ipo humu humu watu wanashindana kuingiza vichwa kwenye upande wa kaaba.
Japo mm kobaz, naweza kusaidia kusupport tu anzishe wote iwe kifedha na hata naweza toa ushuhuda nimetokewa na Yesu na nimekua kafiriMi mwenyewe nafikiri kuanzisha ""full package miracle church""
Kondoo watapinga
Kwa hivyo mtanzania anawakamua maskini?Haya ni mambo ya kiimani zaidi,wapo wanaobusu mawe,wanaorusha mawe,wanaoingiza vichwa sijui wapi basi alimradi tu imani ya mtu.