LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
Uselete dhihaka kwenye ukristo ukadhani ni wakristo wote ndio wanaamini mchanga huo. Ukristo si kama uislam unaowafungia watu wote kwenye boksi moja na wakawa wanaamini ujinga huohuo mmoja miaka na miaka, karne na karne watu wanaaminishwa na kuabudishwa ibada za sanamu