Mimi naona ni akheri kuliko wanaolipa Zaidi ya 4M kwenda kuabudu jiwe jeusi ,na kumpiga shetani mawe kule saudia
Unaelewa kwamba wabusu jiwe Imani yenu ni jewe linafyonza dhambi zenu , kwanini wabusu jiwe hamsomi maandiko yenu?Hii ibada mbona hata Ibrahim wa kwenye biblical kaifanya!
Lile jiwe haliabudiwi kwa maana halina madhara ya moja kwa moja kwa mwanadamu, kama ilivyo Mungu bali hutumika kama ishara ya kuthamini na kujali vitu vitukufu vilivyoanzishwa au kutumiwa na watakatifu/mitume/manabii wa Mungu kabla yetu.
They are pure things, havishabiiani na dhambi wala uovu wa aina yoyote so when you touch it, we believe you touch kitu kitakatifu, na kitu kitakatifu/kisafu always ni very useful kwenye kufikisha maombi,msamaha, ibada n.k kwa Mungu pasi na shaka.
Unaelewa kwamba wabusu jiwe Imani yenu ni jewe linafyonza dhambi zenu , kwanini wabusu jiwe hamsomi maandiko yenu?
......bin Ubaid bin Umair that a man said: "O Abu abdur-Rahman, why do I only see you touching these two corners?" He said: "I heard the Messenger of Allah say: 'Touching them erases sins.' And I head him say: 'whoever circumambulates seven times, it is like freeing a slave.'" Sunan an-Nasa'i 2919
Haya ni mambo ya kiimani zaidi,wapo wanaobusu mawe,wanaorusha mawe,wanaoingiza vichwa sijui wapi basi alimradi tu imani ya mtu.
Noah ni gari ya Familia 🐷 😁
Ni tofauti na jiwe la macca , jiwe linafuta dhambi lenyewe ukiligusa muislamu na jiwe siku ya mwisho litakuwa na mdomo na macho na litaongea kwa kusema waliolipiga denda kwa uhaminifu , bisha nikupe maandiko yakoMbona nimekuelezea hiyo statement ya mwisho! We just go to church/mosque tunasali na kulia kabisa pale haimaanishi kanisa/msikiti ni Mungu bali it is a holy place ambapo kiimani kitendo chochote cha kumtaka Mungu msaada, msamaha au rehema kinakubaliwa pasi na shaka.
Shetani ameingia kwenye dini zote lakini kule ame wa piga pin kabisa/ kwenye ukristo pia shetani ameingia inabidi ukuwe kiimani ili uchanganue wapi ndipo pahala sahihi?Uselete dhihaka kwenye ukristo ukadhani ni wakristo wote ndio wanaamini mchanga huo. Ukristo si kama uislam unaowafungia watu wote kwenye boksi moja na wakawa wanaamini ujinga huohuo mmoja miaka na miaka, karne na karne watu wanaaminishwa na kuabudishwa ibada za sanamu
Nani kakudanganya Ibrahim kaifanya?Hii ibada mbona hata Ibrahim wa kwenye biblical kaifanya!
Lile jiwe haliabudiwi kwa maana halina madhara ya moja kwa moja kwa mwanadamu, kama ilivyo Mungu bali hutumika kama ishara ya kuthamini na kujali vitu vitukufu vilivyoanzishwa au kutumiwa na watakatifu/mitume/manabii wa Mungu kabla yetu.
They are pure things, havishabiiani na dhambi wala uovu wa aina yoyote so when you touch it, we believe you touch kitu kitakatifu, na kitu kitakatifu/kisafu always ni very useful kwenye kufikisha maombi,msamaha, ibada n.k kwa Mungu pasi na shaka.
ni kama yale maji ya zam zam tu wanayoyauza mitaan uturukuDah.. wanunuzi wamo maprofessor, madkt, engineer nk
Jiwe lilikuwa jeupe ,limefyonza dhambi za waislamu likawa jeusi na linazidi kuwa jeusiMbona nimekuelezea hiyo statement ya mwisho! We just go to church/mosque tunasali na kulia kabisa pale haimaanishi kanisa/msikiti ni Mungu bali it is a holy place ambapo kiimani kitendo chochote cha kumtaka Mungu msaada, msamaha au rehema kinakubaliwa pasi na shaka.
Ikiwezekana aweke picha ya kondoo akiingiza kichwa kwa ShushoHebu fafanua hapo kwenye kuingiza kichwa