MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Uzuri Hawa Ni wazungu,wala dunia haitasimama kidete kulaani na kuwaita magaidi,ila Jambo hili lingefanywa na watu wenye madevu ama wavaa kanzu,dunia ingewaka Moto na vita kubwa ya ugaidi ingetangazwa!!
Unyama ni unyama tu,just imagine Askari huyo ana mke na watoto,just imagine wanaona mitandaoni clip kama hii!!
Hao wa makanzu yenu husemwa sana kwa sababu wao huchinja wasiokua na hatia kisa dini ya mwarabu.