Video ya mfungwa wa vita akikatwa kichwa na wanajeshi wa Urusi


Hao wa makanzu yenu husemwa sana kwa sababu wao huchinja wasiokua na hatia kisa dini ya mwarabu.
 
Wanadai alikuwa anawachinja pia na yeye hivyo wameona wamchinje na yeye
 
Hiyo video ipo wapi?
 
Hapo kamchinja haitakua issue
Ila ingekua wale watu wanaojinasibu na dini yetu wangetamka tu maneno yale wangechinja
Ungeona povu
kwahiyo kuchinja ni sawa ? tuhararishe kisa Urusi pia wamechinja
 
hi video inaenda kuamsha chuki ndan ya Urusi kwa vitendo vya jeshi lao , Serikali ya Putin itajaribu kuzuia mafuriko kwa mkono ila muda ukifika Putin atahahaa kama Hitler na Napoleon
 
Video ipo pia inatisha Sanaa,wanachokonoa mifupa kama wanachinja ng'ombe

Hatari sana maana ni mwendo wa visasi, ifahamike kuna maelfu ya wafungwa wanajeshi wa Urusi ndani ya jela za Ukraine.
 
Iko wapi hiyo video,huu ni udaku mwingine dhidi ya Urusi.Ni harakati tulizozizoea za kuipaka matope Urusi.Hata kama ipo,it is likely ni a Ukranian Army video.Urusi ni a very sane nation,they cannot do that.Ukraine ndio wanaoweza kufanya uovu huo.
 
Wameanza kuiga yale madude yenu....
Hio wala isiwe excuse ya kuwakashfu Muslim,,hio ni vita ya watu wanaojitambua na wanaojua maana ya kuishi maisha yao wenyewe,,Urusi ni wakristo wa Orthodox hawako chini ya Roman ambayo inaongozwa na Mama Fransis,,Na wamemkataa.Marekani na ulaya zimeshaukataa ukristo na demokrasia ya kipumbaf chini ya udanganyifu wa humani right na civil right ndio mwongozo wao.Kwa hio unatakiwa ukumbuke kuuwa watu wachafu vitani ni haki kabisa na wazungu wa ulaya na marekani wamekuwa easy target na ni haki yao kufa kwa aina yoyote ya kifo...Mkumbuke nabii samweli alivyomchinja mfalme Agagi.Russia wanafanya jambo lisilohitajika kupingwa na yoyote mwenye kupenda asili,,ustaarabu na common sense.
 

Bora umesema mwenyewe ni vita vya watu wanaojitambua, ila nyie shida yenu huwa nini mnapokata watu vichwa kisa dini au mnapojilipua mabomu.
 
K
Nyie ndio mnayafanya hadi leo kisa dini.....ni uzombi wa enzi zile
Nyie ndio mnayafanya hadi leo kisa dini.....ni uzombi wa enzi zile
Kuna tofauti Gani kuchinja na kusambaratisha kwa Bomu?..urusi anafanya sababu ya nini,dini!?
 
K
Nyie ndio mnayafanya hadi leo kisa dini.....ni uzombi wa enzi zile

Kuna tofauti Gani kuchinja na kusambaratisha kwa Bomu?..urusi anafanya sababu ya nini,dini!?

Nyie mnamshabikia kisa chuki za dini yenu dhidi ya Marekani......
 
Bora umesema mwenyewe ni vita vya watu wanaojitambua, ila nyie shida yenu huwa nini mnapokata watu vichwa kisa dini au mnapojilipua mabomu.
Mimi wala sio Mwislam,,ni mkristo kabisa ila nimekupa mfano wa samweli Nabii ili ujue niko kibiblia zaidi.Kuuwa watu wa Ukraine wanaoungwa mkono na Nato ni jambo sahihi hasa kutokana na mataifa yaa kimagharibi kuutupa ukristo na kuwakataa wale walioamua kubaki na Imani,,Fuatilia kinachoendelea Canada wachungaji wanafungwa jela kwa kusema ushoga ni dhambi,,leo ukienda uingereza mahubiri yako yanakuwa censored kwamba una vitu unaruhusiwa kuongea na vingine uvinyamazie usiviite dhambi mfano huo ushoga,,na ukigundulika umekiuka unakuwa deported,,Marekani kanisa linanyimwa uhuru kwa kukataa abortion na ushoga vandalization ya makanisa iko juu..Unawaungaje mkono waliberali?? Mimi ni mkristo na niko upande wa urusi na wote wanaopenda common sense,,,sio wapumbaf wasiojitambua wanaosema wao ni open minded.
 

Wacha kujifanya Mkristo, sio kitu cha kuiga wala Ukristo hauujui hata kidogo, hamna sehemu Yesu Kristo alihubiri kwamba taifa moja likiona kero kwa taifa la pili liivamie na kuiba ardhi yake na kuua watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…