Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

Status
Not open for further replies.
Kama ni yeye, huenda ni victim...

Kila mtu hufanya faragha, tatizo ni pale anapotokea mmojawapo na kurekodi kama hivyo...
kwakweli mmoja anapofanya hayo mambo mwingine anakuwa victim ,maana ukimwangalia ni kati ya vijana wenye inspiration kubwa kwa wengine katika kupambana kimaisha ,Sasa image inapoharibika hivi ni hatari
 
Sema kwa ile angle alivoegemea ukuta n ngumu kuwa uhakika 100 km ni meena au sio ..yan me nko 50/50
 
Cyo o yey bhna kwa kipande Cha niliona CYO yey Sasa inabid atoke akanushe
 
Binafsi
Najua jinsi inavyo uma kwa dada wa watu na ndugu zake kuona video kama hizo hivyo sikuona haja ya kuposti hapa
ILA muhimu zaidi, watu wengi wameshakubaliana kuwa sio yeye hivyo naomba uzi UFUTWE! ili usiendelee kumchafua dada wa watu!
 
Anatapatapa tu ila ni yeye kabisa!
 
Unajua Dada zetu hawa Wana njaa nyingi mno . Yaani umemtongoza Leo kesho ana shida sasa ndio maana wanarecodiwa
 
kwakweli mmoja anapofanya hayo mambo mwingine anakuwa victim ,maana ukimwangalia ni kati ya vijana wenye inspiration kubwa kwa wengine katika kupambana kimaisha ,Sasa image inapoharibika hivi ni hatari

Ameshakanusha kutohusika na hiyo video clip...hivyo mods wafunge tu uzi
 
Huyo ni yeye kabisa; saa jamaa alivyokuwa anaimung'unya ni noma
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…