Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

Status
Not open for further replies.
Kama ni yeye, huenda ni victim...

Kila mtu hufanya faragha, tatizo ni pale anapotokea mmojawapo na kurekodi kama hivyo...
kwakweli mmoja anapofanya hayo mambo mwingine anakuwa victim ,maana ukimwangalia ni kati ya vijana wenye inspiration kubwa kwa wengine katika kupambana kimaisha ,Sasa image inapoharibika hivi ni hatari
 
Sema kwa ile angle alivoegemea ukuta n ngumu kuwa uhakika 100 km ni meena au sio ..yan me nko 50/50
 
Cyo o yey bhna kwa kipande Cha niliona CYO yey Sasa inabid atoke akanushe
 
Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Meena Ally, mtangazaji wa Clouds Fm akiwa ananyonywa sehemu za siri na mwanaume ambaye sura yake haijaonekana.

Video hiyo kwakuwa haina maadili hivyo sitaweza kuiweka hapa. Kina dada, lini mtaacha kukubali kurekodiwa? Hongera sana Meena Ally

View attachment 2086814
Binafsi
Najua jinsi inavyo uma kwa dada wa watu na ndugu zake kuona video kama hizo hivyo sikuona haja ya kuposti hapa
ILA muhimu zaidi, watu wengi wameshakubaliana kuwa sio yeye hivyo naomba uzi UFUTWE! ili usiendelee kumchafua dada wa watu!
 
TAARIFA! SIO MIMI - Awali ya yote ningependa kuwapa pole familia yangu, mashabiki, wafanyakazi wenzangu na wadau wangu kwa mshtuko wowote waliopata kutokana na kadhia hii. Kuna video ya utupu inasambazwa mitandaoni (inaonyesha msichana anayefanana na mimi) na kuhusisha jina langu. Mimi Meena Ally, ningependa kuwataarifu Watanzania wenzangu kuwa msichana aliyeko kwenye video hiyo SIO MIMI na sihusiki kabisa na maudhui hayo ni mtu/watu walioisambaza na kuandika jina langu. Kama raia, mfanyakazi na mdau wa kazi mbali mbali naheshimu sheria ya nchi, brand yangu na muhimu zaidi utu wangu. Ninaandika haya kwa sababu si tu nafananishwa na msichana alie katika video hiyo, bali pia kuna mahali kwenye video hiyo imeandikwa jina langu. Nawasihi Watanzania wenzangu wasihusike katika kuisambaza hii video zaidi kwani tayari nimeshaifungulia kesi na upelelezi unaendelea kumtafuta aliyeisambaza na kuihusisha na jina langu na kampuni ninayofanya kazi @cloudsfmtz Nichukue nafasi hii pia kukemea vikali vitendo hivi vya udhalilishaji mtandaoni ambayo ni kinyume na sheria za nchi na utu wa binadamu. Sina shaka tutashirikiana na mamlaka husika kukamata wote waliohusika na kitendo hichi. [emoji120]
Anatapatapa tu ila ni yeye kabisa!
 
Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Meena Ally, mtangazaji wa Clouds Fm akiwa ananyonywa sehemu za siri na mwanaume ambaye sura yake haijaonekana.

Video hiyo kwakuwa haina maadili hivyo sitaweza kuiweka hapa. Kina dada, lini mtaacha kukubali kurekodiwa? Hongera sana Meena Ally

View attachment 2086814
Unajua Dada zetu hawa Wana njaa nyingi mno . Yaani umemtongoza Leo kesho ana shida sasa ndio maana wanarecodiwa
 
kwakweli mmoja anapofanya hayo mambo mwingine anakuwa victim ,maana ukimwangalia ni kati ya vijana wenye inspiration kubwa kwa wengine katika kupambana kimaisha ,Sasa image inapoharibika hivi ni hatari

Ameshakanusha kutohusika na hiyo video clip...hivyo mods wafunge tu uzi
 
Huyo ni yeye kabisa; saa jamaa alivyokuwa anaimung'unya ni noma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom