Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ya kawaida sanaaaa,hata my bro and I tunafanyaga hivyo...labda atuoneshe kabisa akiwa anakula mzigo kama nia yake ni kutuaminisha[emoji124][emoji124][emoji124]
Unaonaje ukampa nafasi ajaribu kwako ili uthibitishe zari lakeOmmy Dimpoz sijui amemlipa huyo dada shilingi ngapi ili na yeye aonekane yuko kama sisi?
Maswali mawili umeuliza, lakini kama milioni mbili.Hivi mtu [mwanaume] asipoonekana na mwanamke basi ndo ana matatizo?
Sasa kwa kuonekana kwake huko na huyo mwanamke ndo anakuwa hana matatizo?
Akili za baadhi ya Watanzania bana...
Ana watoto wawili huyo anayelamba midomo.Wasanii wengi tu walishapata kashfa ya kuitwa mashoga lakini sasa hivi wanaishi na wake zao÷
-Mr blue
-Dully sykes nk.
-Hasa wasanii wanaoimba na kubana pua, matusi yanatokea sana kutokea upande wa hiphop.
**Wasanii wengine wametoboa kipini cha pua kama chidi benzi na daimond huku mashabiki tunawatetea hayo ni maisha yao.
**wengine wanavaa sketi kwenye show, wengine hereni na kujilambalamba mdomo, kwa kifupi wasanii wengi tu
Hapo kwenye wekundu ndipo wenzake wanapopataka!
Baada ya kuandamwa sana ana matatizo ndio maana hajawahi kuonekana na mwanamke na hana hata mtoto wa kusingiziwa na Nay wa Mitego,
Kisha Diamond kuandika kuwa aligoma kumpumulia ndio maana ana visasi naye, Ommy katupia picha akiwa na mpenzi wake huko Instagram
Ni upumbavuu tu wa watu na yeye mwenyewe akiwemo.Maswali mawili umeuliza, lakini kama milioni mbili.
Si nasikiaga hata yule naniliu wa kule mtaa wa nanihii eti naye anatafunwa na yule mhindi.[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wasanii wengi tu walishapata kashfa ya kuitwa mashoga lakini sasa hivi wanaishi na wake zao÷
-Mr blue
-Dully sykes nk.
-Hasa wasanii wanaoimba na kubana pua, matusi yanatokea sana kutokea upande wa hiphop.
**Wasanii wengine wametoboa kipini cha pua kama chidi benzi na daimond huku mashabiki tunawatetea hayo ni maisha yao.
**wengine wanavaa sketi kwenye show, wengine hereni na kujilambalamba mdomo, kwa kifupi wasanii wengi tu