Video ya Ommy Dimpoz na mpenzi wake ndani ya mapenzi ya show off

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061

Baada ya kuandamwa sana ana matatizo ndio maana hajawahi kuonekana na mwanamke na hana hata mtoto wa kusingiziwa na Nay wa Mitego,
Kisha Diamond kuandika kuwa aligoma kumpumulia ndio maana ana visasi naye, Ommy katupia picha akiwa na mpenzi wake huko Instagram
 
Ya kawaida sanaaaa,hata my bro and I tunafanyaga hivyo...labda atuoneshe kabisa akiwa anakula mzigo kama nia yake ni kutuaminisha[emoji124][emoji124][emoji124]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Upo tayari ommy dimpoz akikuita akupige mzigo ili ujithibitishie kwa vitendo?
 
Wasanii wengi tu walishapata kashfa ya kuitwa mashoga lakini sasa hivi wanaishi na wake zao÷
-Mr blue
-Dully sykes nk.
-Hasa wasanii wanaoimba na kubana pua, matusi yanatokea sana kutokea upande wa hiphop.
**Wasanii wengine wametoboa kipini cha pua kama chidi benzi na daimond huku mashabiki tunawatetea hayo ni maisha yao.
**wengine wanavaa sketi kwenye show, wengine hereni na kujilambalamba mdomo, kwa kifupi wasanii wengi tu
 
Tabu yote ya nini, kama huna tatizo ya nini ujisumbue kuwahakikishia walimwengu?
 
Kwahiyo Alivyoonekana na Demu ndio Jogoo wake anapanda Mtungi? James Delicious naye anaonekana na Mademu Sana!
 
Kwa hiyo asionekane akiwa na mwanamke ili asionekane kawaridhisha watu.

MODERN STUPIDITY
 
Hivi mtu [mwanaume] asipoonekana na mwanamke basi ndo ana matatizo?

Sasa kwa kuonekana kwake huko na huyo mwanamke ndo anakuwa hana matatizo?

Akili za baadhi ya Watanzania bana...
Maswali mawili umeuliza, lakini kama milioni mbili.
 
Wasanii wengi tu walishapata kashfa ya kuitwa mashoga lakini sasa hivi wanaishi na wake zao÷
-Mr blue
-Dully sykes nk.
-Hasa wasanii wanaoimba na kubana pua, matusi yanatokea sana kutokea upande wa hiphop.
**Wasanii wengine wametoboa kipini cha pua kama chidi benzi na daimond huku mashabiki tunawatetea hayo ni maisha yao.
**wengine wanavaa sketi kwenye show, wengine hereni na kujilambalamba mdomo, kwa kifupi wasanii wengi tu
Ana watoto wawili huyo anayelamba midomo.
 
Baada ya kuandamwa sana ana matatizo ndio maana hajawahi kuonekana na mwanamke na hana hata mtoto wa kusingiziwa na Nay wa Mitego,
Kisha Diamond kuandika kuwa aligoma kumpumulia ndio maana ana visasi naye, Ommy katupia picha akiwa na mpenzi wake huko Instagram

Hapo kwenye wekundu ndipo wenzake wanapopataka!
 
Maswali mawili umeuliza, lakini kama milioni mbili.
Ni upumbavuu tu wa watu na yeye mwenyewe akiwemo.

Mtu kusema fulani ni shoga haimfanyi huyo aliyesemwa kuwa shoga.

Na yeye kuonekana na na mwanamke hakuthibitishi wala kukanusha chochote kile.

Halafu hata huwa sielewi kwa nini mwanaume uangalie maisha ya wanaume wengine....kwamba wanaonekana na na nani huko mtaani na kadhalika.

I mean...what the hell is that?
 
Wasanii wengi tu walishapata kashfa ya kuitwa mashoga lakini sasa hivi wanaishi na wake zao÷
-Mr blue
-Dully sykes nk.
-Hasa wasanii wanaoimba na kubana pua, matusi yanatokea sana kutokea upande wa hiphop.
**Wasanii wengine wametoboa kipini cha pua kama chidi benzi na daimond huku mashabiki tunawatetea hayo ni maisha yao.
**wengine wanavaa sketi kwenye show, wengine hereni na kujilambalamba mdomo, kwa kifupi wasanii wengi tu
Si nasikiaga hata yule naniliu wa kule mtaa wa nanihii eti naye anatafunwa na yule mhindi.[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom