DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Wakuu nimekutana na andiko hili...
Ni nani aliwapa ujasiri wa kuchoma mali za watu wasio na hatia?Ni nani aliwapa moyo mgumu kiasi cha kufunga barabara ambazo hata mgonjwa aliyehangaika na pumzi yake ya mwisho alipitia? š
Mamilioni ya jasho ya mtu mmoja yaligeuzwa majivu ndani ya dakika chache. Mama aliyekuwa anategemea duka lake ili kuwalisha watoto wake, leo amebaki na machozi tu.Kijana aliyekuwa anategemea pikipiki yake kujihifadhi na kulipa kodi ya maisha, leo amebaki hana chochote. š
Na kibaya zaidi⦠Hawa waliokuwa wanaita eti mapambano, hawakuwa na huruma, hawakuwa na lengo la kujenga, walitaka kuharibu. Walileta hofu, uvunjifu wa amani, na maumivu makali kwa watu wasiostahili.