Kaka kipi cha uongo alichosema hapo??? Kwann mnajivisha ngozi ya kondoo na kuukataa ukweli huku mkikandamiza upande mmoja...Only a fool, atashawishika na hiyo propaganda mfu.
Mnazidi kujivua nguo.
Maandamano yalikuwa peacefully until….wauaji walipoanza kufyatua risasi za moto hovyo.
Mjinga pekee ndiye atamezeshwa proganda hii.
Kajipange tena.
Ulitaka wananchi waliokuwa wanaandamana kwa amani, wawapelekee chai na chapati polisi waliokuwa wanarusha risasi za moto hovyo?Kaka kipi cha uongo alichosema hapo??? Kwann mnajivisha ngozi ya kondoo na kuukataa ukweli huku mkikandamiza upande mmoja...
Je barabara hazikufungwa?? Vituo vya mafuta havikuchomwa?? Maduka hayakuvunjwa?? Je mawe hayakurushwa kwa wasio na hatia?? Je vituo vya kupigia kura havikuchomwa???
Hop utajibu kwa staha kiongozi (si kujitetea bali ukweli)
Wakuu nimekutana na andiko hili...
Ni nani aliwapa ujasiri wa kuchoma mali za watu wasio na hatia?Ni nani aliwapa moyo mgumu kiasi cha kufunga barabara ambazo hata mgonjwa aliyehangaika na pumzi yake ya mwisho alipitia? 🚑
Mamilioni ya jasho ya mtu mmoja yaligeuzwa majivu ndani ya dakika chache. Mama aliyekuwa anategemea duka lake ili kuwalisha watoto wake, leo amebaki na machozi tu.Kijana aliyekuwa anategemea pikipiki yake kujihifadhi na kulipa kodi ya maisha, leo amebaki hana chochote. 😔
Na kibaya zaidi… Hawa waliokuwa wanaita eti mapambano, hawakuwa na huruma, hawakuwa na lengo la kujenga, walitaka kuharibu. Walileta hofu, uvunjifu wa amani, na maumivu makali kwa watu wasiostahili.
sawa Mkuu bado hisia zimetawala ukweli siku moja kwa umoja wetu tutakaa chini na tutasema tulichezea shilingi chooni kwa ujinga wetu. By the time itakua too late.... Hata mama na baba zetu watalaani maamuzi yetu ya pande zote mbili.Ulitaka wananchi waliokuwa wanaandamana kwa amani, wawapelekee chai na chapati polisi waliokuwa wanarusha risasi za moto hovyo?
Serikali ikizuia maandamano ya amani lazima yageuke kuwa ya vurugu. Period.
Now, niambie mbona husemi watu waliouwawa. Unaweza kurudisha uhai wao?
Kwa hiyo njia ya pekee ya kupambana na raia wanaofanya hayo ni kuwapiga risasi kama ngedere!?Je, barabara hazikufungwa?? Vituo vya mafuta havikuchomwa?? Maduka hayakuvunjwa?? Je mawe hayakurushwa kwa wasio na hatia?? Je vituo vya kupigia kura havikuchomwa???
Tusijiteteee tuwe wakweli..... Mpaka sasa umeiona video gani ya waandamanaji weka hapa kama ushahidi wakiwa na mabango na ujumbe tena kwa amani wakitembea upande mmoja wa barabara na kuruhusu shughuli zingine uoande wa pili.... Hii sio mara ya kwanza kufanyika maandamano Tz tukumbuke CDM ilishafanya tena mwanzo mwa mwezi huu..Kwa hiyo njia ya pekee ya kupambana na raia wanaofanya hayo ni kuwapiga risasi kama ngedere!?
Hawawezei jibu ilo swali,maandamano ni mabaya sana hasa yenye mlengo wa vurugu!Tusijiteteee tuwe wakweli..... Mpaka sasa umeiona video gani ya waandamanaji weka hapa kama ushahidi wakiwa na mabango na ujumbe tena kwa amani wakitembea upande mmoja wa barabara na kuruhusu shughuli zingine uoande wa pili.... Hii sio mara ya kwanza kufanyika maandamano Tz tukumbuke CDM ilishafanya tena mwanzo mwa mwezi huu..
Wengi ni vibaka,narudia tena hayakuwa maandamano bali ni fursa kwa wahuni wakabaji na waporaji mali za watu..
Wakuu nimekutana na andiko hili...
Ni nani aliwapa ujasiri wa kuchoma mali za watu wasio na hatia?Ni nani aliwapa moyo mgumu kiasi cha kufunga barabara ambazo hata mgonjwa aliyehangaika na pumzi yake ya mwisho alipitia? 🚑
Mamilioni ya jasho ya mtu mmoja yaligeuzwa majivu ndani ya dakika chache. Mama aliyekuwa anategemea duka lake ili kuwalisha watoto wake, leo amebaki na machozi tu.Kijana aliyekuwa anategemea pikipiki yake kujihifadhi na kulipa kodi ya maisha, leo amebaki hana chochote. 😔
Na kibaya zaidi… Hawa waliokuwa wanaita eti mapambano, hawakuwa na huruma, hawakuwa na lengo la kujenga, walitaka kuharibu. Walileta hofu, uvunjifu wa amani, na maumivu makali kwa watu wasiostahili.
Uko nje kabisa na nilichouliza. Sijazungumzia maandamano popote katika bandiko langu.Tusijiteteee tuwe wakweli..... Mpaka sasa umeiona video gani ya waandamanaji weka hapa kama ushahidi wakiwa na mabango na ujumbe tena kwa amani wakitembea upande mmoja wa barabara na kuruhusu shughuli zingine uoande wa pili.... Hii sio mara ya kwanza kufanyika maandamano Tz tukumbuke CDM ilishafanya tena mwanzo mwa mwezi huu..