Video: Yanayoendelea huko CCM

Video: Yanayoendelea huko CCM

Haya hapa
Nadhani video umeifupisha tungeligundua mengi.

Kwani kabakisha nini sasa kufikia marks za X-Dc wa Longido?

Tatizo Ccm huwa hawatumbuliwi, hata huyo Dc angelikuwa kavaa gwanda la kijani wakati akizungumza, wala asingeng'oka.

...'Ushindi ni lazima, eeh!'... Kuna maana gani ya demokrasia, kuna maana gani ya kujihangaisha kupiga kura?
 
Ukiona hajibu ujue kashaenda kuteka watu.
20240710_195953.jpg
 
Ila sometimes nahisi jua wanatumwa kuja kumchafua mama sio bure
 
Mazumbukuku haya na wanakenua meno kabisa et duuh.
 
Ila sometimes nahisi jua wanatumwa kuja kumchafua mama sio bure
Kwamba unahisi CCM haitendi mambo hayo? Nasikitika kukuambia huo ni uhalisia wa CCM.

Msome hapa unayehisi wanamchafua.

 
Back
Top Bottom