Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Haya hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hajibu ujue kashaenda kuteka watu.
Nadhani video umeifupisha tungeligundua mengi.Haya hapa
Hii video ni ya miaka mingi lknHaya hapa
Ukiona hajibu ujue kashaenda kuteka watu.
Huu ni uthibitisho wa kuwa kila mwana ccm [bila kujali cheo,madaraka,hadhi/heshima]ni WAKALA WA SHETANI,..... MUNGU HANA NAFASI NA HAHITAJIKI NDANI YA ccm. Hivyo tusishangazwe na aina ya viongozi wa serikali ya ccm,sifa,tabia na uwezo ni vya kishetani.
Haijalishi!Hoja ya msingi hapa ni kuwa inamaanisha yanayoendelea kisiasa/kiutawala.Hii video ni ya miaka mingi lkn
Achafuliwe!Ila sometimes nahisi jua wanatumwa kuja kumchafua mama sio bure
😂😂😂Ukiona hajibu ujue kashaenda kuteka watu.
Kwani wanachogombania kushinda kwenye uchaguzi ni kipi? Ushindi una manufaa gani kwao hasa?
Kwamba unahisi CCM haitendi mambo hayo? Nasikitika kukuambia huo ni uhalisia wa CCM.Ila sometimes nahisi jua wanatumwa kuja kumchafua mama sio bure