Video: Yanga wali-train kucheza rafu mwanzo mwisho?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.


Napata shida sana kuangalia clips za marudio ya hii match. Napata shida kuona mpira ukichezwa kama vita na ugomvi. Najiuliza faida ya rafu hizi ni nini. Mbali na upinzani wa timu lakini wachezaji hawa ni washikaji na wote wanapigania uzima ili kujenga maisha yao. Sasa inakuwaje jitu linacheza rafu ya kiwango hiki bila kujali usalama wa wengine?

Zaidi najiuliza ni nani anawafundisha kufanya haya?haya yanaweza kuwa maelekezo ya mwalimu?

Hii timu sio ya kuombea mafanikio kabisa
 
Bro,
Mpira hawawezi, wafanyaje Sasa? Ni sawa na ile Mechi waliocheza Prison vs Simba
 
Hawa walijua wanafungwa tena goli nyingi hii ilikuwa mbinu ya kupunguza idadi ya magoli,halafu kuna wapumbavu washabiki uchwara wa Utopolo wanasema refa kawaonea.
 
Ebu jaribu kuangalia ile mechi ya fainali ya kombe la kopa America kati ya Argentina vs Brazil.
 
Anayesema yanga walicheza faulo mwanzo mwisho ni mpuuzi

Rafu walicheza wote na baadhi ya rafu refa alipeta yanga wakiongoza kwarafu 22 sumbwa wakiwa na rafu 17 kombe la Azam

Mechi ya tarehe 3 sumbwa waliongioza kucheza rafu .licha ya refa kupeta Sana rafu Za sumbwa
 
Hukufaa hata kuanzisha nyuzi hii
Ukavute bange na wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…