Video za kibongo uhalisia bado sana, Meja Kunta umechemka

Mkuu hadhira ya wimbo husika ni waangaliaji wa bongo movies na vihindi ambavyo rubani anavaa kofia hizo hivyo hatujaona makosa maana nauli ya ndege ndefuu Tupia basi picha ya rubani wa ndege na kofia yake tuone makosa husika.
 
usikute director kaonja hako kavideo queen kisha kasahau kuomba ya rubani
 
Mkuu hadhira ya wimbo husika ni waangaliaji wa bongo movies na vihindi ambavyo rubani anavaa kofia hizo hivyo hatujaona makosa maana nauli ya ndege ndefuu Tupia basi picha ya rubani wa ndege na kofia yake tuone makosa husika.
Hiyo kofia juu huoni imeandikwa polisi wew mshamba wa wapi zuzu
 
Ndio kazi yake kulingana na kipato chake usimlazimishe awe drake.

Akiacha kazi ale wapi?
 
Mkuu hadhira ya wimbo husika ni waangaliaji wa bongo movies na vihindi ambavyo rubani anavaa kofia hizo hivyo hatujaona makosa maana nauli ya ndege ndefuu Tupia basi picha ya rubani wa ndege na kofia yake tuone makosa husika.
Jitahidi ata mara moja upande mwewe. Hautojuta.

Mfano rubani wa Air Tanzania zile Bombardier uwa anavaa kama hivi..

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ comments..
 
Hata tamthilia zao haziko clear kabisa angalia tamthilia za kituruki zipo clear rangi nzurii
Sie shida nini [emoji23]
Tatizo ni bajeti, bajeti ingekuwa inatengwa kubwa hata wataalamu wa color grading wangepatikana na kazi zingekuwa zinatoka vizuri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…