Video criticism Ni fani. Ukisoma chuoni kuhusu Jambo Hili utakuwa hufurahii video na filamu zote hata za ki magharibi. Coz video production Ni mchezo wa makosa mengi Sana kuanzia editing, graphics, nk. Hebu fikiria sometime movie zingine zinataka mtu aonekane akiendesha ndege kwa mfano.
Bajeti Ni ndogo . Unajua kinachofanyika? Linatafutwa gari linabandikwa cockpit mbalimbali . Yaani maswitch kibao Kama kwenye ndege. Then inatengeneza animation au graphic picture ya ndege Kama zile kwenye gem iko hewani. Baadae unarudishwa kwa kuoneshwa matukio ya ndani ya ndege kumbe Ni ndani ya gari unakubali. So Mambo ya kukosoa sio ya kuyatilia maanani.