Video za uokozi maafa ya kariakoo

Hawa Ni Baadhi Ya Rafiki Zetu Waliotangulia Mbele Ya Haki Kwenye Ajali Ya Kuporomoka Kwa Ghorofa Leo Asubuhi.
"Kwaherini Wanetu Tunaonana Tena BaadaeπŸ™πŸ’”πŸ•ŠView attachment 3154122
VIfo vya mateso haswa, imagine Mtu anaangukiwa na matofali mazito kichwani au kifuani...mwingine anavunjwa uti wa mgongo na nondo au zege ngumu
 
ambae anaongoza serikali ya wanadamu kutoka kwa Mungu,😭😭😭
Yes gentleman,
Ndiyo. Serikali za wanadamu kote ulimwenguni zimetoka kwa Mungu.

Tumuombe Mungu atujaalie subra wakati maelekezo ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu uokoaji, katika eneo la tukio yakiendelea kufanyiwa kazi kwa weledi na umakini mkubwa na vyombo vyetu imara sana vya ulinzi na usalama.πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
Leo sina comment! Naomba niishie hapaπŸ™πŸΎ
 
Ingekuwa heri wewe ndo ungekuwa upo ndani ya kifusi
Uwe unampongeza Rais vyema ukiwa uko
Hamna hata aibu Watanganyika wenzetu wanakufa we upo unaleta masuala tu
 

Angekuwa waziri wake kafa nina uhakika asilimia 100 asingeondoka ila kwakuwa maisha ya watanzania wapambanaji hayana thamani kwake ndio maana ameondoka.

Raisi alitakiwa kutoondoka na kushikamana na watanzania kwenye kipindi hiki. Kongole kwa wananchi, hakika juduzi zao zimeonekana
 
angekua ni kiungo cha ubishi gentleman,

Rais ameshatoa maagizo na maelekezo muhimu sana kwa kamati ya maafa Kitaifa kama ambavyo pia hufanya vivyo hivyo kwenye ajali na maafa mengineyo nchini.

Kumbuka,
Kamati ya maafa Kitaifa inaongozwa na Kasimu Majaliwa, waziri Mkuu ambae yuko field kupitia vyombo vya ulinzi na usalama..

huku kazi ya uokozi ambayo inafanyika kwa umakini mkubwa ikiendelea kufanyika kwa weledi na bidii sana.

Mola atujaalie subra na wepesi katika kufikia hitimisho jema juu ya jambo hili.

Vyovyote itakavyokua, kama Taifa lazima tusonge mbele pamoja πŸ’
 
Ingekuwa heri wewe ndo ungekuwa upo ndani ya kifusi
Uwe unampongeza Rais vyema ukiwa uko
Hamna hata aibu Watanganyika wenzetu wanakufa we upo unaleta masuala tu
ingekua ni kiungo cha ubishi kisichokua na uhakika..

vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinaendelea na shughuli za uokozi kwa bidii, umakini na weledi wa kiwango cha juu sana, bila kubababika na wanaharakati wanaojaribu kuhujumu na kuchochea taharuki uchwara kwenye maafa haya ya kusikitisha sana..

Mungu atafanya wepesi, hili nalo litapita πŸ’
 
Leo sina comment! Naomba niishie hapaπŸ™πŸΎ
ni muhimu na itapendeza zaidi kukaa kwa kutulia bila kuchochea taharuki ambazo si muhimu, wakati vyombo vya ulinzi na usalama vikiendelea na kazi muhimu sana ya uokoaji katika ajali mbaya sana ya kuporomoka kwa jengo kariakoo..

Mungu atufanyie wepesi na atuonyeshe njia πŸ’
 
Ujenzi unaofanyika kko ni uchafu tu.....na mamlaka wao wanatizama tu
Tunajuwa rushwa inatumikaa sana
Na kwa style hii tutazidi kufukiwa na vifusi na tutazikana sana

Ova
 
Kwenye hospital ya wagonjwa wa akili, ukiwa humo na akili timamu wewe ndio unaonekana mwendawazimu..

Tanzania tuna tatizo kubwa, wajinga wanaonekana wana akili na wenye akili wanaonekana wajinga..

Elimu yetu imegeuka takataka, ukimsikia kijana wa chuo kikukuu au profesa anaongea hana utofauti na mtu wa darasa la kwanza!!!

Tunahitaji kubadili mambo, vinginevyo tutapoteza kila kitu. John Heche
 
Ww unakuja kuleta siasa humu. Tumeziona picha asilimia kubwa watu wa kariakoo wamesaidiana wenyewe kwa wenyewe kuokoana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…