Video za uokozi maafa ya kariakoo

Video za uokozi maafa ya kariakoo

Kaa kimya msije mkapigwa kofi na Mungu maana Mungu hapokei tu report na kutoa maagizo ni yy anaona na kutenda!!
20241117_070623.jpg
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amekanusha taarifa zilizoripotiwa na baadhi ya Vyombo vya Habari na kusambazwa mitandaoni kwamba zoezi la uokoaji wa Watu walio chini ya ghorofa lililoporomoka Kariakoo limesitishwa ambapo amesema uokoaji haujasitishwa na Watu wanaendelea na zoezi hilo usiku huu.

Akiongea na @AyoTV_, RC Chalamila amesema “Kwa taarifa zinazoendelea hivi sasa imeonesha maokozi yamesitishwa, ukweli ni kwamba maokozi hayajasitishwa hapa tulipo nipo Mimi RC, kuna Wizara mbalimbali, DC , RAS na Vyombo mbalimbali vya Ulinzi na Usalama, zipo Timu mbalimbali za Vyombo vya Dola na Watu binafsi wanaoendelea kutusaidia”
#MillardAyoUPDA
20241117_071414.jpg
20241117_071350.jpg
TES
 
Kaa kimya msije mkapigwa kofi na Mungu maana Mungu hapokei tu report na kutoa maagizo ni yy anaona na kutenda!!
kwa Neema na Baraka za Mungu maelekezo ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan ambae anaongoza serikali ya wanadamu kutoka kwa Mungu, yaendelee kutekelezwa na kuzaa matunda kadiri ya mapenzi ya Mungu mwenyewe.

hakuna haja kubabaika gentleman :pulpTRAVOLTA:
 
kwa Neema na Baraka za Mungu maelekezo ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan ambae anaongoza serikali ya wanadamu kutoka kwa Mungu, yaendelee kutekelezwa na kuzaa matunda kadiri ya mapenzi ya Mungu mwenyewe.

hakuna haja kubabaika gentleman :pulpTRAVOLTA:
ambae anaongoza serikali ya wanadamu kutoka kwa Mungu,😭😭😭
 
Yes,
Maelekezo ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa kamati ya maafa ya kitaifa na mkoa yamechochea kwa kiasi kikubwa shughuli ya uokozi.

Mh.Rais aliamrisha na kuelekeza kwamba, vyombo vyote vya ulinzi na usalama pamoja na wataalamu wao vilekee eneo la tukio.

Nadhani sote ni mashuhuda wa kazi nzuri iliyofanywa kwa amri ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan.

Tunamtakia safari njema nasi kama taifa tutaendelea kutekeleza maelekezo yake na kuhakikisha wale wote walioko chini ya kifusi, kwa Neema na Baraka za Mungu, wanapatikana wakiwa hai 🐒
Huu uchawa wenu kila pahala uwe unaishia mtandaoni, mtaani utapigwa mande.
 
Vifaa vya kuokolea siyo greda na oxygen tu!
Nchi za wenzetu wanatumia hydraulic pumps (kama jeki la gari) na vyuma kama hivi kunyanyua kuta, kuhakikisha kuta haziporomoki
Moja hiyo ya mwisho inaitwa Jaws of Life
Sasa sijui kuna vifaa kama hivi na mafunzo wamepitia vikosi vyetu?
Ndugu zetu watolewe Karia
20241117_074557.jpg
20241117_074600.jpg
koo!
 
Back
Top Bottom