Video za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi kwenye Youtube mwaka 2016

Video za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi kwenye Youtube mwaka 2016

Wazim sasa hivi wanamjua Diamond kuliko tunavyomjua sisi.
Mutiwena ndatetereka, tetereka, indasama serunyema hinayinayina ooohhhh darl ndadamuka kungenjanyi haaahaaaa hatari sana mondi alivoimba Hicho kishona hadi the herald wakariport kua alikua amevaa vizuri sana siku ya ile show Hapo HICC
 
Naona sehemu kubwa Diamond au yoyote anae husika na Diamond anaongoza
 
Weka hapa link ya youtube channel yako na u upload ujinga wowote, nikununulie views halafu ni screen shot nitume hapa.

Mkuu valuecock sipendagi kubishana m natakaga kujua ukweli link hii hapa mkuu fanya yako.

Huu wimbo ni wa amber lulu nimeingia youtube nikakutana nao.

Una views 250 naomba uununulie viewers kama ulivyodai hapo juu

 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukizingatia kule hakuna tim so nchi nzima wana muelewa diamond ile mbaya na vile ali imba kishona bas wanaona raha.
Yaan jah prayza mpaka akienda kanisani wana mwambia asimame azungumze machache jinsi ule wimbo walivo ukubali
Mkuu iyo ngoma sio mchezo
 
Ukitaka kupata list halisi itabid ufanye average ya upload date na siku ambayo umchukua viewers counts. Mf nyimbo ilokuwa uploaded Jan 2016 ikiwa na viewers 200k haiwez fanana na nyimbo ilokiwa uploade sep 2016 yenye viewers hao hao 200K.
 
fanyeni kazi acheni kupga porojo zisizokua na msingi
 
Tujue sana viewes kias fulan unalipwa kias fulan tupen majibu sasaa

YouTube haimlipi mtu fedha taslim, Mkuu.!
Adsense, Google's monetization platform ndio wanahusika na hilo jambo. Huwa walipa kwa kiwango cha 1000 views, ambapo kwa kila monetized view unalipwa dollar 7 ( kwa wastani ).
Lakini sio kila view ililipiwa, kuna wale wanaotumia simu kuangalia video YouTube, hao views zao hazijaliwa maana hutumia extension kama AdBlock. Views zinazomfaidisha muhusika ni zile za kwenye Computers, na devices zenye Adense.

Kwa kifupi nikikujibu mojamoja kwa moja swali lako, ni kwamba kuwa na YouTube viewers na Subscribers wengi ni faida sana kwa mfanyabiashara, anaetumia YouTube. Promotion ya kazi au bidhaa zake hauwezi ukailinganisha na mtu mwenye viewers na subscribers wachache, mfano Diamond ana Subscribers 450K na Ali Kiba ana 78K. Kibiashara Ali Kiba yupo nyuma ya Diamond.

Natumaini nimejibu swali lako Mkuu...
Kuwa huru kunipa feedback.
Have a Great day.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukizingatia kule hakuna tim so nchi nzima wana muelewa diamond ile mbaya na vile ali imba kishona bas wanaona raha.
Yaan jah prayza mpaka akienda kanisani wana mwambia asimame azungumze machache jinsi ule wimbo walivo ukubali
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 noma sana
😀
 
Back
Top Bottom