mkuu, kiukweli hii ishu ya kununua views ilikuwa ni ujinga tuu wa hiki kipuuzi ki ommy dimpoz kutaka kmchafua Mondi, bila kufikiria jitihada anazofanya mwenzie Mondi ili kufikia malengo yake.
kwa sababu hata kalivyoizungumzia ilikuwa kihuni sana, maana kalijitolea mfano kenyewe kuwa kaliwahi kuuziwa views.
sasa wale wanaokesha kumchafua Mondi wakaichukua hiyo kama sababu ya kumu attack Mondi.
wakati kiuhalisia, tulitakiwa tukaponde hako ka dimpozi maana kenyewe ndio kalilkiri kuwahi kufanya huo upuuzi. ila hata hivyo nadhani tukahurumie tuu, maana inaonekana kana matatizo lukuki ikiwemo hata kutokujua U-tube ina operate vipi.