sana maana hiyo WATORA MARI inapigwa hadi kene vilabu vya pombe za kienyeji sikuhiziHahahha
Namkubali kuwa ana appreciate uwepo wa diamond. Sasa akaze zaid.
Ila amejitahidi kwani pia kamuongezea fan base ya nguvu bhana diamond.
Pumbavu zakoWeka hapa link ya youtube channel yako na u upload ujinga wowote, nikununulie views halafu ni screen shot nitume hapa.
Mimi mwenyewe nimejitahidi kuwauliza hawa vijana wa team tembo wameshindwa kunifafanulia.hebu nielekeze namna ya kununua views na mimi nikanunue🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Ni kweli ila kusema ukweli hizo views bado chache, kuna videos nimeona zina 2 over billion views,Yule jah prayza wa Zimbabwe alikuwa hajawahi fikisha hata views laki 1, alivo fanya na diamond aka pata views milion 1 alifanya hadi sherehe, akaangusha bonge ya party huko Zim
Kupata views si mchezo
EeehNi kweli ila kusema ukweli hizo views bado chache, kuna videos nimeona zina 2 over billion views,
Mi naamini ni kweli ile story ya kununua views kwa takwimu hiziYule jah prayza wa Zimbabwe alikuwa hajawahi fikisha hata views laki 1, alivo fanya na diamond aka pata views milion 1 alifanya hadi sherehe, akaangusha bonge ya party huko Zim
Kupata views si mchezo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Weka hapa link ya youtube channel yako na u upload ujinga wowote, nikununulie views halafu ni screen shot nitume hapa.
HahahahaMi naamini ni kweli ile story ya kununua views kwa takwimu hizi
Sana kaka, Diamond jina kubwa sana sana pale Zim, kingine jamaa alikuwa anamkubali sana Diamond tangu kitambo, maana alishawahi kukopi video ya Diamond Kitorondo yeye akaiita Yerusalema (angalia hiyo video), wazim wakampigia kelele sana, nadhani alipopata nafasi ya kukutana na Diamond na kufanya nae Collabo alijisikia raha sanaHahahha
Namkubali kuwa ana appreciate uwepo wa diamond. Sasa akaze zaid.
Ila amejitahidi kwani pia kamuongezea fan base ya nguvu bhana diamond.
Ngoja nikachekSana kaka, Diamond jina kubwa sana sana pale Zim, kingine jamaa alikuwa anamkubali sana Diamond tangu kitambo, maana alishawahi kukopi video ya Diamond Kitorondo yeye akaiita Yerusalema (angalia hiyo video), wazim wakampigia kelele sana, nadhani alipopata nafasi ya kukutana na Diamond na kufanya nae Collabo alijisikia raha sana
Ngoja nikachek
Amenikumbusha mambo ya TID na nyita yako
Watakuwa walimuandamaHiyo hapo
Hahahaha
Wala usiamini ni uzushi tuu
Na you tube huwa wana pitia mara kwa mara lazma wa ku strip views
Sasa wewe diamond wamempa hado tuzo walishndwa kumjua kama ana nunua!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mkuu, kiukweli hii ishu ya kununua views ilikuwa ni ujinga tuu wa hiki kipuuzi ki ommy dimpoz kutaka kmchafua Mondi, bila kufikiria jitihada anazofanya mwenzie Mondi ili kufikia malengo yake.
kwa sababu hata kalivyoizungumzia ilikuwa kihuni sana, maana kalijitolea mfano kenyewe kuwa kaliwahi kuuziwa views.
sasa wale wanaokesha kumchafua Mondi wakaichukua hiyo kama sababu ya kumu attack Mondi.
wakati kiuhalisia, tulitakiwa tukaponde hako ka dimpozi maana kenyewe ndio kalilkiri kuwahi kufanya huo upuuzi. ila hata hivyo nadhani tukahurumie tuu, maana inaonekana kana matatizo lukuki ikiwemo hata kutokujua U-tube ina operate vipi.
Watakuwa walimuandama
Sema idea za video huwa tunaiba nusu nusu soyo yote kama alivo fanya yeye.