Video za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi kwenye Youtube mwaka 2016

Alijitetea kuwa idea zilifanana na za Diamond kwani alisema yeye hakuwahi kuiona hivyo video ya Diamond, lakini kabla ya hapo alishakuwa na lawama za kukopi video ya msanii nadhani wa Ghana au Nigeria
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Alitisha
 
Huyu dogo Diamond mpaka leo hajapoa, he is damn maintaining the top level. 👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…