Huyu dada ni kama yupo confused hivi....
Anajipambanua kama mtu maarufu asiependa mambo ya sifa na kujionyesha,at the same token kapiga picha nyumba yake na kujionesha mitandaoni....
Hua dhamira ni kutaka watu wakutambue wewe ni nani na upate hongera za hapa na pale.Sababu eti naonesha ili ku-inspire others ni sababu moja ya uongo na kinafiki sana,the bottomline ni kuwataarifu wananchi kua umepata na umepiga hatua ya maisha ili wakusifie.Angeishi kwenye nyumba yake bila wananchi kutambua kua ni yake anaona itakua ni upungufu sana.
Ila sina shida na waonesha mali na maendeleo yao,ila sababu wanayoitumia ya "ku-inspire" wengine ni ya uongo,its time people come clean!