VIDEO: Zamaradi aonyesha White house yake na mume wake

VIDEO: Zamaradi aonyesha White house yake na mume wake

Huyu dada ni kama yupo confused hivi....

Anajipambanua kama mtu maarufu asiependa mambo ya sifa na kujionyesha,at the same token kapiga picha nyumba yake na kujionesha mitandaoni....

Hua dhamira ni kutaka watu wakutambue wewe ni nani na upate hongera za hapa na pale.Sababu eti naonesha ili ku-inspire others ni sababu moja ya uongo na kinafiki sana,the bottomline ni kuwataarifu wananchi kua umepata na umepiga hatua ya maisha ili wakusifie.Angeishi kwenye nyumba yake bila wananchi kutambua kua ni yake anaona itakua ni upungufu sana.

Ila sina shida na waonesha mali na maendeleo yao,ila sababu wanayoitumia ya "ku-inspire" wengine ni ya uongo,its time people come clean!
Roho ya kishetani utaijua tuu, imekaa ki wivu wivu.
 
Roho ya kishetani utaijua tuu, imekaa ki wivu wivu.

Kuna wivu gani hapo sasa?

Duh!

Mtu aki analyze possible motives ya matukio unaona labda ni wivu?

Imagine ni wivu,then baada ya wivu kuna kitu chochote utampunguzia au kumuathiri mwenye nacho?Nothing.Yanini mtu apoteze muda na nguvu zake kumshikia mtu wivu with things he/she has no control of?

I do not know her at all,wivu utoke wapi?Wivu unakua na substance walao uwe unamjua muhusika in a personal level au peer wako in a certain level,I have none of that!
 
Nyumba nzuri ila mbwembwe za maswiming pool ya nini.? Piga banda la kuku walau wa kula nyumbani na wa kujifunzia ujasiriamali watoto. Au unapiga bustani ya maua/mbogamboga.

Amejitahidi Zamaradi na mume wake
Yaah, ilibidi aache kale ka uwanja ka basketball tu. Pembeni aweke mibanda ya kuku. Ila ndio hivyo kila mtu na mawazo yake. All in all kajitahidi sana. Waweke mambo yao Kisheria vizuri tu. Sio baadae watuletee mambo ya Joyce kiria na mme wake KAMANDA KITONGA.
 
Cha mkosaji hicho.. una husda kama mwanamke wa alieko labour..ukute unaishi kwa wazazi au kwa bwana.. nyumba iko vizuri hio tena ni ya kitajiri.. majumba makubwa peleka kwa waarabu huko.fyuuu.
Are you thick or what?
 
Inamaana bwana ake mzee Mishe in town siyo wamejenga wote wape hongera wote Mr & Mrs Mishe in town
 
Yaah, ilibidi aache kale ka uwanja ka basketball tu. Pembeni aweke mibanda ya kuku. Ila ndio hivyo kila mtu na mawazo yake. All in all kajitahidi sana. Waweke mambo yao Kisheria vizuri tu. Sio baadae watuletee mambo ya Joyce kiria na mme wake KAMANDA KITONGA.
Kweli kabisa mkuu. Haya mambo kila mtu na priority yake.
 
Baadhi ya wanawake ata akipata laki mbili atazitandaza kitandan na kuzipiga picha kujionesha ye ni fighter au anajifanya kuinspire wengne. Lakin lengo nikujionesha kua anapesa au maendeleo fulan kwa lengo la kujipatia sifa. Asilimia kubwa ya wanawake wana akili ndogo na kaulimbukeni flan iv
 
Yaah, ilibidi aache kale ka uwanja ka basketball tu. Pembeni aweke mibanda ya kuku. Ila ndio hivyo kila mtu na mawazo yake. All in all kajitahidi sana. Waweke mambo yao Kisheria vizuri tu. Sio baadae watuletee mambo ya Joyce kiria na mme wake KAMANDA KITONGA.
Hivi mnafikiri watu wote ni wafugaji na wafanyabiashara? Wabongo bhanaa kwa kuchonga tu hamjambo.
 
angesubiri aimalize ndo aionyeshe maana sisi Waswahili sio watu wazuri kabisa!
 
Back
Top Bottom