VIDEO: ZARI aingia bongo kimya kimya kusaini Deal na Keds


Wivu hadi unanuita hivyo kama vile anatumia ghetto yako kutenda hayo unayodai.. lia tu maana inaelekea ya Kinondoni huko unauzoefu wa kuyajua ilivyo.. eeeeeeh

Mondi kaachwa pwaaaaaa.. sasa badala muwashangilie wanawake wote wanaoingia Madale Guest House alipowaachia Zari aliyetumia 100k usd kupaweka palivyo.. bado mnamsakama.. eeeeeeh Zari kiboko aiseeeee
 
Hahahahahaa.....

Huku tuko bize ba wowowo....la Wemaarr...
 
Umeona eeh!kwenye mapenzi tunaambiwa tutumie akili moyo baadaae!
Mwenzangu kazi kweli tatizo wanajisahau huku umri unasonga wengine warembo na kupata wenza wazuri tu
wanaweza ila wanavyojiweka sasa ila maisha ni kuchagua
 
Hata mie yaani anaingiza mpaka huko ndani heshima gani ni mara mia angekuwa anakukuruka nao huko sio nyumbani kwake uchafu kabisa dada wawatu anajielewa sana
 
Hili tangazo hawakumpa Wema kwasababu pampers saizi yake hawauzi.
 
Miaka mingapi? Watoto wangapi? Basi huu ni umalaya kwa kiajabu
 
Ule mpododo wa wema sepenga aliotuonyeshea juzi umenifanya nibadili mawazo ya kukataa kuuza nyumba yetu ya urithi pale kariakoo
 
Chaaa huo umalaya wa mpaka kuzaa ni umalaya gani?? Wivu huo mtoto wa kike. Unless otherwise huo umalaya muwe mnafanyaga wote
 
Ifike mahali tumuache huyu wema aishi maisha aliyoyachagua jamani khaaa
Mbona mastar wengi tu wanawake tena wamezaa lakini hatuwasemi wao kukosa hilo deal
 
Safi na hongera zake,huyu binti macho yake ni kwenye mapato yule mwingine kuonyesha na kuchezesha matako ila alinitamanisha sana juzi kwa zile video.

Haa haaa ila ujue matako yanaleta mapato mazuri sana kama yako kiwango .. Si unajua tena mambo ya kwenda uani ..!! πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Zaidi achana na huyu anayetangaza makalio chapa kazi mamaaaa
 
Bravo East Africa mwenye nacho huongezewa goo zari Mungu atazidi kukubaliki wale watoto yatima wa ivan utawalea kwa uwezo wa Mungu milango izidi kufunguka milele amen!
Ukiachana na East africa union Pia umezaa watoto wawili na mtanzania nillan na latifa wenye wivu na vijiba na roho mbaya am soreeeee
[HASHTAG]#mpewa[/HASHTAG] hapokonyeki#
 
Kwani hizi chuki kwa mtu kweli zinakupa chochote?
 
Mwigulu huyu mganda ana Work Permit??

Ndo na mimi nashangaa .... ndo maana anapata guts za kuwatukana wabongo sababu ni wajinga !!!!!
Am not a hater , but this is too much hakuna nchi utaenda afu mgen ukapewa deal /priority wazawa wakaachwa yaaani over all mastaa wa bongo wakaona bora wamtoe zari south ambae ni mganda aje asign deal bongo ptuuuuu ,kwani bongo hamna staa aliye zaa ? Hii kali aisee .....: ndo kila siku anapata guts za kutukana /vijembe kwa wabongo na mijitu bado inajipendekeza kwake .
 
Wabongo kazi yao kuonyesha zile sehem za nyma ndio kitu wanaweza
 
Kampuni ya keds sio serikali uzalendo peleka serikalini yaani unataka awaite akina wema,mobeto ??

Haupo serious ..zari ana influence afrika mashariki na south africa na hii kampuni haitegemei wanunuzi TZ mpaka nje ya mipaka


Mbona akina rihanna na wasanii wengi huenda kufanya matangazo nchi zingine

Muache awe na guts sababu ana akili na anajielewa na ni business woman

Huwezi kumpa mtu ambaye sio business woman dili kisa tu ana msambwanda jiulize kwann zari Africa kusini ,Tz,Kenya ,Uganda kote anatumiwa halafu njoo ujiulize kwann hao WaTz kwao tu makampuni makubwa haiwatumii

Business ili afanikiwe lazima upitie kanuni zake na moja ya kanuni ni advertisement ,zari ni asset East Africa na southern Africa

Muache zari awe na guts ya kuwa na kiburi......endeleeni kuchezesha makalio


Mbona wakati anatembea na mbongo hukusifia


Jiulize mbona mondi kapewa dili kuwa balozi wa beer ya rickross Africa sabb ana exposure kubwa barani Africa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…