VIDEO: ZARI aingia bongo kimya kimya kusaini Deal na Keds

diamond kapata dili safari com na turkish air kwann yeye naye ni mkenya au mturuki
 
Una ufahamu wowote kuhusu haya mambo, huwajui Watanzania ambao ni mabalozi wa makampuni ambayo sio ya Kitanzania?
 
[emoji106]
 
Kakufanya nini huyo Zari hadi umtolee maneno machafu kiasi hicho?!
 
mond umezingua sana kumsaliti zari, hao akina wema watakufikisha wapi na ubongo wa akili zao umejaa makohozi ya ccm
Akili ya Tandale unailzimisha kuwaza mbali?
Hizi ndizo akili za watu kama mrisho ngasa!Anapata dili Sudan anawada mademu wake wa tandale
 
Staa yupi kwa mfano?wema,tunda,wolper au?
 
Mwanamke (read influencer) ambae angeweza kuwa na commercial influencing power kwa Tz ni Wema!

Sasa kama wewe ni director au marketing director wa kampuni husika; hivi ungeweza kumpa mtu kama Wema ubalozi?!

Unaweza kumpa mtu kama Jokate ubalozi wa bidhaa za watoto wakati c ajabu hata ku-change pampers kwenyewe hajui!!

Kwanza kuna vitu vingine hata ukifanya, havi-make sense kabisa!!

Maybe Hamisa lakini sioni kama Hamisa ana loyal fan base kubwa kumlinganisha na Zari! Sana sana ninachokiona kwenye Instagram account yake ni more of Zari's haters kuliko loyal fans!

So, nothing personal; it's business! Sema muhimu ndo hiyo; je, ana work permit!!
 
Proudly Tanzania.

Wema sepetu

1. miss in Tanzania since 2006
2.Business woman
3. Owner of ENDLESS FRAME company.
4. A mother of two children.
5. Net worth is about $ 1.5 milion us dollar.


[emoji1] [emoji23] [emoji119]
 
Malaya alikuuzia lini na wapi? Acha wivu mtu, hata umuiteje haitamwondolea Nyota na Uzuri aliopewa na Muumba. Dada anajitambua na kama na Malaya anauza kwa Right Clients: wanaoweza kumpandisha ndege na kwenda atakako, mavazi bora, Vipodozi, wanaoweza kutunza watoto wake na kuwapatia elimu bora na shule bora. Siyo Clients wa kutoa fedha ya Vocha! Zarina nakupenda hadi naumwa! Songa mbele mama piga kazi haters wasikurudishe nyuma.
 
Huyu mkewe Sugu ndio angepewa hili tangazo, maana yeye angevaa hizo diapers kabisa, na kwenda nazo kupiga misele mjini.
 
Huyu mkewe Sugu ndio angepewa hili tangazo, maana yeye angevaa hizo diapers kabisa, na kwenda nazo kupiga misele mjini.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu, dau lake hata bei ya baiskeli haifiki we uuze nyumba? Unahitaji maombi ya kanisani na msikitini, kisha upewe kikombe cha babu unywe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…