Video: Zari aondoa stress za mimba ya Hamisa Mobeto kwa Style Hii

hakuna cha mimba wala ushuzi hamisa anajua baba wa mwanae acheni uzushi
 
Wabongo bwana wapi aliwahi kumsimanga ivan?
 
Ashakum si matusi, lakini ngoja niishie hapa tu.
 
Wapi ulishuhudia akimsimanga Ivan?
Wewe unajua chanzo cha kuachana kwao?
 
Hayajawahi kukupata nyamaza
Jibu hoja maana watu full kushadadia maisha ya watu wakati wanaoana hawakuwashirikisha na hamjui kwanini waliachana na kwanini zari aliachana na ivan na mali zote ivan alizokuwa nazo still akamuacha.
Wangapi kwani wanaachana mtu kama anaona ndoa ina majanga anaacha anatafuta kwingine ndiyo maana ivan still alimuamini mzazi mwenzake hata walipokuwa wameachana.
 
Kiuno kigumu bado,,yule dada yake ashutala asirudie kujirekodi kiuno gani hicho khaa!!kama greda linakata kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…