Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Sure, kwa hili niko nawe, acha watu wafanya mambo yao faraghani..........
Msituletee upuuzi wenu wa kusuguana minyeo kisa tu mpo faraghaYuko sahihi 💯%.
Mambo ya faragha ya watu wazima waliokubaliana wewe yanakuhusuje?Msituletee upuuzi wenu wa kusuguana minyeo kisa tu mpo faragha
Wakiwa faragha wewe utajuaje wamesuguana?Msituletee upuuzi wenu wa kusuguana minyeo kisa tu mpo faragha
ALimtosa mwenzake aliyetaka kufunga bao dakika ya 89:59
Onngea kidogo, unajuaje kuwa hao unao waheshimu sana duniani hawafanyi hayo? Acha mambo ya faragha yajitetee! Nyamaza, usikjeliMsituletee upuuzi wenu wa kusuguana minyeo kisa tu mpo faragha
Sijakejeli. Hapana na nazungumzia unnatural offence ambayo imepigwa marufuku kisheria. Hata kama ukifanya faragha ni kosa.Onngea kidogo, unajuaje kuwa hao unao waheshimu sana duniani hawafanyi hayo? Acha mambo ya faragha yajitetee! Nyamaza, usikjeli
Kwani wavuta bangi wanavuta hadharani?Wakiwa faragha wewe utajuaje wamesuguana?
Msituletee upuuzi wenu wa kusuguana minyeo kisa tu mpo faragha
Kwenda uvinza sio kosa kisheria. Japokuwa unaweza kutapika kama umekula konokonoMkuu mbona wewe unazama chumvini na wadau hawasemi.
Wanaume wanavuja nyuma kama wanawake wapo breed bana.Hata huko ughaibuni kwa weupe walianza na hoja ya kutoingilia faragha za watu then baadae wakaja na hoja kutambua mahusiano ya jinsia moja.
Now days wameruhusu mashoga na wasagaji kufunga ndoa na kuanzisha familia.
Sasa hivi wanajuta maana wameshaanza kuwafundisha watoto wadogo mashuleni maswala ya ushoga na kujibadili jinsia.
Kwenda uvinza sio kosa kisheria. Japokuwa unaweza kutapika kama umekula konokono