Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

Sijakejeli. Hapana na nazungumzia unnatural offence ambayo imepigwa marufuku kisheria. Hata kama ukifanya faragha ni kosa.
sasa rafiki, watu haya mambo wanayafanya sana hata walio kwenye ndoa.... nilikua na kijana anatoak nyanda za juu kusini, alioa mke sehemu za bahari (....), aliniambia kuwa wazee , wazee wa kimila, miaka 60=80 walimwita wakati wanamkabidhi mke kuwa lazima na kule ufanye ..........
 
Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu falagha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga.

View attachment 2815486
Watu wanasoma alama za nyakati, kwa jinsi dunia inavyoelekea kuna mambo lazima utumie uchaguzi wa maneno ili kulinda ugali wako. Zito ni mwanasiasa siyo kiongozi wa dini, na kwenye siasa mashoga na wasagaji hawana tatizo. Ikiwa hata baadhi ya viongozi wa dini wanabariki ndoa za jinsia moja, inaonyesha swala hili ni vigumu kwa sasa kulipinga ikiwa ni mwana siasa. Ama sivyo utakosa wanachama na wafuasi wa chama na hata uungwaji mkono kimataifa, kwani mashoga ni wengi na wana nguvu kubwa kisiasa na kiuchumi.
Ushoga na usagaji ni jambo la kukemewa kwa jinsi na maana ya kukemea inavyostahiki lakini usitegemee litakemewa na kila mtu.
 
Zitto kanifanya nicheke sana yani kumbe kuna namna ya kujibu hili swali ambayo haitakuwa na makali sana.

Yani kuna ujibuji wake wa hili swali ambapo haitaonesha kuwa unapinga ushoga bila

Lakini viongozi wetu kwanini kwenye ishu ya kupinga ushoga wanakuwa na kauli za kusita (indirect) lakini kwenye kukemea madada poa wanaenda straight?

Natamani hili swali aulizwe Chalamila siku moja
 
sasa rafiki, watu haya mambo wanayafanya sana hata walio kwenye ndoa.... nilikua na kijana anatoak nyanda za juu kusini, alioa mke sehemu za bahari (....), aliniambia kuwa wazee , wazee wa kimila, miaka 60=80 walimwita wakati wanamkabidhi mke kuwa lazima na kule ufanye ..........
Mnamtetea Zitto kwa sababu amefanana Misimamo na Tundu Lisu!
 
Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu falagha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga.

View attachment 2815486
Swali linatakiwa liwe na mitego baada ya kugundua kila mpenda democracy anaunga mkono usawa wa kijinsia ambamo ndani yake ndo kuna ushoga.

Swali liwe hivi:-
Ukiachia mbali juu ya kuheshimu faragha za watu nini maoni yako juu ya kukubali au kukataa mambo ushoga na ujumla wake
 
Tatizo ni hiyo faragha haiwezekani kuwa faradha milele.
Kisichofaa hakifai tu hata kikifanyika gizani.
Haiwezi kuwa milele kwamba ipo siku watafanya tendo hadharani?
 
Kina laana hicho kizee
Kimebakiza makunyanzi
image_search_1700144113852.jpg
 
Sijawahi kuona wala kusikia
Tunajifunza kwa waliotangulia kuhalalisha hiyo faragha.
Walianza na faragha
Ikafuata kutambulika kisheria na kijamii.
Sasa wanawafundisha watoto wasio na hatia mashuleni utamu wa faragha.
Je hadi hapo kuna faragha?
Sio yote ya kuiga, mengine tuyaache yaende
 
Back
Top Bottom