Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

Kama swala ni faragha za watu mbona ulaya wanazuia ndoa za mitala, kila nchi ina utamaduni wake maswala ya ushoga sio utamaduni wa kitanzania na ukitaka kumtawala mtu kwanza vunja utamaduni wake.
Kwani hiyo ya Faragha za watu, wameitoa ulayaa, au iko kwenye katiba ya jamhuri ya muungano wa Tz??

Utamaduni wa kitanzania ni upii? Em sema hapa tuone.
 
Back
Top Bottom