Mashoga wana tatizo gani? Sasa huko Pub au Bar kosa ni lipii? Waachwe wa enjoy bhana.Kuna dada mmoja mtangazaji
Wa radio moja maarufu ana kibar
Naona majirani walimpigia kelele maana pub yake wanajaa mashg
Na akivunga mtaa na anawekaaga kigodoro basi balaaa
Nasikia majirani wamechemka
Mtangazaj mwenye pub ana nguvu baraka kutoka juu si unajua selebreti tena [emoji1]
Ova
Ndiyo alisema wakubwa ruksa kulana samadii.Kwa hiyo watu watifuane vinyeo siyo
Ova
Hapoo sasa, Wabongo UNAFIKI unawasumbua.Tena hawa wanaojifanya kuchunguza faragha za watu ni mashetani kweli kweli. Hivi mtu anayeiba fedha ya hospital na watu wakafa kwa kukosa dawa na shoga ni nani shetani zaidi? Kwenye mambo ya ushoga hata mimi siwezi kuingilia faragha za watu vyumbani mwao. Mbona wapo wanaume wengi tu wanalawiti wanawake, kwani wana tofauti gani?
Picha za kuashiria ushoga ni zipii? Hebu eleza hapa.Hata picha zenye kuashiria ushoga hakuna kupost, au clip za kulamba midomo wasipost, wakioost watashughulikiwa
😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ongezaa sautii wizooo akeeee.
I doubt, kwenye proposal zao nyingi za kupata funding wamejicommit kulinda faragha za watu otherwise uzi wa fantasy ungeshafutwa 🤣🤣.Sasa mbna JF ukizungumzia LGBTQ mada au comment inafutwaa,
Maxence Melo sorry Mr njoo ujibu hapa.
Una heka heka weyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I doubt, kwenye proposal zao nyingi za kupata funding wamejicommit kulinda faragha za watu otherwise uzi wa fantasy ungeshafutwa [emoji1787][emoji1787].
Bongo unafiki muhimu, ukionyesha upande usishangae ikafungiwa mazima. JPM mwenyewe na ubabe wake ila alimruka makonda alipokua anakamata LGBT.Kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sasa ukizungumzia LGBTQ wanafuta, mmmh
Tegemea kupata jibu lenye bias. Unauliza open ended question alafu unalimit scope ya jibuSwali linatakiwa liwe na mitego baada ya kugundua kila mpenda democracy anaunga mkono usawa wa kijinsia ambamo ndani yake ndo kuna ushoga.
Swali liwe hivi:-
Ukiachia mbali juu ya kuheshimu faragha za watu nini maoni yako juu ya kukubali au kukataa mambo ushoga na ujumla wake
Hakuna anayefundisha ushoga wanafundishwa uhalisia wa hali ya sasa. Hii inasaidia sana wao kujua waamue nini kuliko hawa wakwetu wanaishia kujifunza mitandaoni au kusikia vijiwe vya kahawa ndio wanakua curious.Sasa wanawafundisha watoto wasio na hatia mashuleni utamu wa faragha.
Ushoga sio public trouble, Sheria zinazokinzana n mashoga zinaakisi kulinda na kusimamia maslahi ya mwanaume. Image ya mwanaume.. kwa sasa hiv Afrika nzima inareakt sabab ya moral codes za masculinityKuna malezi ya kifamilia ambayo wanawajibika walezi.
Pia kuna malezi ya kijamii ambapo inawajibika jamii nzima.
Sio rahisi kulea watoto na kuwaongoza kwenye maadili mema kwenye jamii iliyoharibika.
Mwanaume Kutikisa na kutetemesha makalio kwa kisingizio cha kucheza mziki tiktokPicha za kuashiria ushoga ni zipii? Hebu eleza hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii inachekesha sana ....kwani umesahau kuwa siku hizi ngoma zetu za asili zimetengenezwa kuwa wanaume wanashindana na wanawake kukatika mauno [emoji1787][emoji1787] ndiyo maana mimi sipendi ngoma za utamaduni ....naamini kuwa siyo za kweli ...siyo kweli kuwa zamani wanaume wa kiafrica walikuwa wana cheza ngoma kwa kukatika kama wanawake hapo pana upotoshaji wa mila [emoji1]Mwanaume Kutikisa na kutetemesha makalio kwa kisingizio cha kucheza mziki tiktok
Pia nakumbuka comedi za kina joti zilikuwa zinaitwaje sikumbuki ...ila walikuwa wanavaa na kuigiza kama wanawake tena vipindi vinarushwa kwenye tv ya taifa kabisaMwanaume Kutikisa na kutetemesha makalio kwa kisingizio cha kucheza mziki tiktok
Sasa kinachokushangaza ni nini mleta hoja?Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga.
View attachment 2815486
==
Yaliyozungumzwa ktk video hiyo.
Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anapinga ushoga. Zitto akasema "Nipo tayari kuitangazia dunia kuwa naheshimu faragha za watu". Odemba akabadili swali kwa kusema Zitto anakubaliana na ushoga. Zitto akajibu naheshimu faragha za watu
Pumbavu. Huna akiliSasa kinachokushangaza ni nini mleta hoja?
Hilo ndilo jibu sahihi kwa sababu hayo mambo ni kweli kuwa ni ya faragha ya mtu binafsi..
Ushoga na usagaji ni kosa la kimaadili na ni tamaa za mwili za watu..
Na inakuwa kosa baya kisheria na kwa macho na sheria za kibinadamu kama watu watafanya hadharani huku wakikihalalisha kitendo hicho..
Lakini Je, nani anajua yanayotendeka kwenye nyumba na vyumba vya watu? Bila shaka ni Mungu muumba pekee aonaye sirini na yeye ndiye ataksyehukumu hayo ya sirini...!
Ili kuchokonoa ukweli zaidi kuhusu msimamo wake huo, Odemba angaliweza pia kuchimba zaidi kwa kumuuliza swali lingine kuwa ataheshimu faragha hiyo ya mahusiano ya kishoga hata kama yanamuhusu mtoto wake wa kumzaa, ndugu yake wa kuzaliwa, ama hata kwa mzazi wake?Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga.
View attachment 2815486
==
Yaliyozungumzwa ktk video hiyo.
Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anapinga ushoga. Zitto akasema "Nipo tayari kuitangazia dunia kuwa naheshimu faragha za watu". Odemba akabadili swali kwa kusema Zitto anakubaliana na ushoga. Zitto akajibu naheshimu faragha za watu
Saivi hatuko naye tena... Alionywa hakawa na kichwa kikubwa, wakaombwa Maaskofu wamuombe atulie yeye akawananga hadharani na kasema anahitaji 6B yake....ALimtosa mwenzake aliyetaka kufunga bao dakika ya 89:59