Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga.
View attachment 2815486
==
Yaliyozungumzwa ktk video hiyo.
Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anapinga ushoga. Zitto akasema "Nipo tayari kuitangazia dunia kuwa naheshimu faragha za watu". Odemba akabadili swali kwa kusema Zitto anakubaliana na ushoga. Zitto akajibu naheshimu faragha za watu