Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Inauma sana. Tumekuwa tunashambuliwa na kila mjuzi wa soka. Hadi watu wetu wenyewe wanatugeuka kuwa hatuna akili.
Simba wao wamenyamaza tu kama hawahusiki. Viongozi why lakini? Je ni kuficha aibu ya matokeo ya barua ya CAS? tumeamua kutafuta kichaka cha kujifichia? Sasa tunachimba shimo tunafukia kichwa tunaacha nyeti zote zipo wazi.