Videos: Sugu, Msigwa na Lema

Videos: Sugu, Msigwa na Lema

Hebu isikilize hii miamba
 
Ila mwisho wa siku, ukweli ni kwamba Wanasiasa siyo viumbe wa kuwaamini kwa 100%. Hawa Makamanda wanajimwambafai tu kwa sababu wana uhakika wa kupata chakula.

Siku wakishikwa na njaa, na njaa hiyo ikatoka tumboni na kuelekea kichwani, watabadilika tu.
 
Ila mwisho wa siku, ukweli ni kwamba Wanasiasa siyo viumbe wa kuwaamini kwa 100%. Hawa Makamanda wanajimwambafai tu kwa sababu wana uhakika wa kupata chakula.

Siku wakishikwa na njaa, na njaa hiyo ikatoka tumboni na kuelekea kichwani, watabadilika tu.
Kwa hiyo unaishauli nini CCM?
 
Kwa hiyo unaishauli nini CCM?

Iendelee tu kutumia fursa vizuri maana imeshachokwa na Watanzania walio wengi. Kiufupi tu, Ccm kwa sasa haina jipya na haina ushawishi kivile kwa Watanzania wengi zaidi tu ya kutawala kwa vitisho na mikwara mbuzi.

Hivyo iendelee tu kutumia rushwa, polisi, tume yao ya uchaguzi na wale watanzania waliokosa elimu ya uraia. Ila siku yao itakapofika, hakika watatuachia tu nchi yetu.
 
Hawa Sidhani kama Bunge la 2020-2021 watakanyaga, wahage mapema hawa
Hii akili ndogo pia wameizungumzia, wakasema wanahakika watarudi wote watatu, ndio maana siku hizi wenzio lumumba hawasemi hawatarudi bungeni kama wewe, wao wanasema hawatawatangaza washindi.
 
Kuwa kiongozi hakukuongezei akili, zaidi kuna ku expose - Sugu.

Kama kichwa chako kabla ya kuwa kiongozi kilikuwa kibovu, hata ukiwa kiongozi utakuwa mbovu - Garbage In.. Garbage Out - Msigwa.

Kubaki bungeni wakati wa janga la Covid-19 ilikuwa ni Poverty Mentality - Lema.
 
"Hawa ndio kundi la wabunge Super Star wa Ufipa, wasioguswa ktk kuchangia chama, remote ya wa mfalme..." (unanimous😂😂)
 
Tatizo la akina Lema ni matusi na dharau. Wapo very constructive ktk kutoa hoja bungeni ila wana dharau sana. History will never remember them
 
Hai wanaowataja ni wazito kuliko upeo wao.

LEMA; kwa takribani miaka nane alifanya siasa za kumtukana na kumdhalilisha nzee lowasa. Ukiondoa mambo ya siasa lakini umri, hadhi ya siasa katika jamii na kama baba mwenye familia hakutakiwa kudhalilishwa kwa kiwango kile cha lema.
Lakini badae alikuja kukiri kuwa alichosema kuhusu Lowasa hakikuwa kweli. Kwamba ilikuwa siasa. Sasa Mandela ndio alikuwa anafanya siasa hizo?

MSIGWA; huyu ni kama mkurupukaji katika siasa. Anafanya vitu kwa mihemko na chuki juu. Hata uongeaji wake sio wa kutulia. Alianzisha kauli yake ya kinana weka mbali na tembo. Akimtuhumu kama muuaji wa tembo. Badae alikiri kuwa aliyokuwa anasema hayakuwa na ukweli wowote bali ni porojo za kisiasa. Sasa sijui kina malcom x waliyafanya haya ya kusingizia watu?

SUGU; huyo anadhani upinzani ni uadui. Ana uwezo wa kusimama bungeni na kuongea chochote cha kudhalilisha wengine. Kuna kipindi alinyanyuliwa juu juu akatolewa bungeni. Kuna wakati alionyesha dole la kati kwa wabunge wa chama kingine.

Hao ndio wanajiona role models wao ni kina nelson mandela. Wanazidi kujitia laana.
 
Msigwa ni mbunge wa hovyo kabisa kuwahi kutokea toka chadema ianzishwe na upinzani kwa ujumla
Ingekua ulaya,saa hizi angekuwa nyumbani tu
 
Ila mwisho wa siku, ukweli ni kwamba Wanasiasa siyo viumbe wa kuwaamini kwa 100%. Hawa Makamanda wanajimwambafai tu kwa sababu wana uhakika wa kupata chakula.

Siku wakishikwa na njaa, na njaa hiyo ikatoka tumboni na kuelekea kichwani, watabadilika tu.

Bwashe,
Hemu jaribu kutofautisha Kati ya mtu mwenye Kiongozi kwa kuzaliwa na Kiongozi wa kubumba!

Hawa watu 3 (Mhe. Lema, Msigwa na Sugu)wamezaliwa na Kipawa au kipaji cha uongozi fafauti kabisa na watu waliosomea uongozi!

Kama ni njaa wenye njaa walishaonekana tayari! NI Wale walokwisha hamia CCM.
Hawa wote 3 walishafuatwa na kupigiwa Simu tena na KATIBU Mkuu CCM Bado wamekataa!
Mhe. Msigwa alilipiwa Tshs. 40m na Rais Magufuli lakini mpaka sasa bado yuko CHADEMA.
Issue ya njaa hapa haipo!!!
 
Elimu ya CCM hii,kuandika kwenyewe shida
Kwa mujibu wa Twaweza, ccm inaungwa mkono na wenye elimu duni, wanawake na waishio vijijini. Huyo jamaa yupo moja ya hayo makundi, kwa hiyo si wakulaumiwa kabisa.
 
Back
Top Bottom