juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Maiti inavaa suti ulitegemea diamond avae nnDiamond anavaa suti....unategemea kenge wengine wafanyaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli kabisa,na wao ni nyumbu tuSuti, kunyoa kiduku na mawani ya giza imekua ni torati ya bongo lala.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu kwa hiyo akianzisha wao wanafuataDiamond anavaa suti....unategemea kenge wengine wafanyaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wee jamaa wewee. Vp shemMbona husemi Bungeni wanaigana, maana karibu ukumbi mzima wanavaa suti
Naomba namba ya mkeowee jamaa wewee. Vp shem
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]Maiti inavaa suti ulitegemea diamond avae nn