Videos za bongo siku hizi wote wanavaa suti

Videos za bongo siku hizi wote wanavaa suti

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Sometimes huwa nikiwa sina kazi au nikiwa sina muvi nzuri huwa naamua kutune in tv stations za home,sasa ukiangalia hizo videos za bongofleva,na hata boringo(acha kwaya ).wote kila msanii kwa kila video utaona baadhi ya vipande vinavyowanesha wakiwa wamevaa suti,vides zote za sasa wamevaa suti,yaani zote wala hakuna anayevaa tofauti,ni zoooote wanaigana mavazi as if ndio fashion kwa sasa.na hiyo tunaiga wapi sijui.
 
hawana ubunifu...
bado hawajapata fashion mpya
 
Diamond anavaa suti....unategemea kenge wengine wafanyaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua hawa ngua nyingi ni za kukodi madukani na wengi hawanunui na maduka ya kukodi yamezoeleka yaleyale na nguo wenye duka wanaokodisha usikute nzuri zaidi ndio hizo suti
 
Mbona husemi Bungeni wanaigana, maana karibu ukumbi mzima wanavaa suti
 
Diamond anavaa suti....unategemea kenge wengine wafanyaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu kwa hiyo akianzisha wao wanafuata
 
Ni kama kila msanii wa nyimbo za mapenzi lazma alambe lips
 
Waacheni wavae suti buana,enzi zile kila video mtu kava shati au tisheti oversize,suruali pana kuuuuuubwa kila muda ni kushikashika zipu tu video yenyewe imepaukaaaa,mi naona siku hizi vijana wanapendeza sana na vijisuti vyao.
 
Back
Top Bottom