juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Sometimes huwa nikiwa sina kazi au nikiwa sina muvi nzuri huwa naamua kutune in tv stations za home,sasa ukiangalia hizo videos za bongofleva,na hata boringo(acha kwaya ).wote kila msanii kwa kila video utaona baadhi ya vipande vinavyowanesha wakiwa wamevaa suti,vides zote za sasa wamevaa suti,yaani zote wala hakuna anayevaa tofauti,ni zoooote wanaigana mavazi as if ndio fashion kwa sasa.na hiyo tunaiga wapi sijui.