Vidokezo vya kuingia katika mahusiano yenye afya 2023

Guys hi kitu inaitwa solitude (upweke) ni kibaya sana, it's healthy but harmful as well.

This year sababu ya upweke nljikuta nmeingia in a very toxic relationship, huwa inanitesa sana psychologically sababu huwa nashindwa kuwa na power of letting go especially nikimzoea mtu, in nature mimi ni male introvert, an on my 20s.

At this point am single, any advice? Je, nawezaje ingia in a healthy relationship 2023. Please any tips will help.
AFTER ALL IS SAID AND DONE,... TAFUTA PESA....
 
Ila nigga nashindwaga kabisa kuwaelewa Sasa aaiwe na yakudumu kivipi nawakati mwisho wasiku atahitaji kuoa, kuwa na watoto, kujenga future nk au nyie jamaa mulipewa notes tofauti na sisi na lecture
[emoji23][emoji23]

Jamaa anadai upweke unamtesa anahitaji mahusiano, kwahiyo anahitaji dem

Kama anahitaji dem ili aje kuwa mkewe sawa unless otherwise anapoteza

Huku ku-date ni kutiana stress tu.

Naona kuliko kuwa na mahusiano yakuwekana tu no future ni bora uwe tu mwenyewe mana mbususu is available world wide

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes a captain with the broken heart, the only difference is my voyage is in the realm of love relationships, labda wadada wakizungu uwa hawachiti , Au tujaribu na hao mkuu
Tutawapata wapi mkuu?? kama una connection share with us mkuu.......
 
Nigga upo Kama mimi yaani sie tunakuwa serious kwenye mapenzi tunakula doso tuanze tu kuwachezeachezea tu maana ndio wanataka hawa wanawake
Ndio hivo mkuu ukiwazingatia binadam automatically wanakupotezea

Kama umefika mda wa wewe kuoa mbona mke anajulikana tu, mwanamke ukiwa nae tu miezi 6 unajua hapa Kuna mke au la

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]

Jamaa anadai upweke unamtesa anahitaji mahusiano, kwahiyo anahitaji dem

Kama anahitaji dem ili aje kuwa mkewe sawa unless otherwise anapoteza

Huku ku-date ni kutiana stress tu.

Naona kuliko kuwa na mahusiano yakuwekana tu no future ni bora uwe tu mwenyewe mana mbususu is available world wide

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hili ufikie kuoa lazima uwe na mahusiano seriously hata uwe unawachakata vipi mwisho was siku lazima utengeneze penzi moja serious Sasa Hilo penzi serious likizingua ndio utaumia

Mtoa mada au ameplan kuoa au haja plan lakini kuwa na penzi serious haiepukiki hakuna asiyependa kuwa na penzi serious changamoto tu
 
Guys hi kitu inaitwa solitude (upweke) ni kibaya sana, it's healthy but harmful as well.

This year sababu ya upweke nljikuta nmeingia in a very toxic relationship, huwa inanitesa sana psychologically sababu huwa nashindwa kuwa na power of letting go especially nikimzoea mtu, in nature mimi ni male introvert, an on my 20s.

At this point am single, any advice? Je, nawezaje ingia in a healthy relationship 2023. Please any tips will help.
kuna wakati ukiwa kama binadamu usiogopee kuanza upya jipe moyo kisha ongea na akili yako hakika utaweza....
 
Guys hi kitu inaitwa solitude (upweke) ni kibaya sana, it's healthy but harmful as well.

This year sababu ya upweke nljikuta nmeingia in a very toxic relationship, huwa inanitesa sana psychologically sababu huwa nashindwa kuwa na power of letting go especially nikimzoea mtu, in nature mimi ni male introvert, an on my 20s.

At this point am single, any advice? Je, nawezaje ingia in a healthy relationship 2023. Please any tips will help.
Sijajua how you operate in your relationships ila ungejifunza kutokana na kilichotokea kwenye hiyo toxic relationship iliyopita.

Mfano, kuna wanaume wanakuwa very submissive kwa wachumba zao, hii inamfanya mdada a take advantage ya upole wako, kuna mwanaume mwengine anakua very rude, hapa napo mdada anakimbia.

Nikijitolea mfano mimi, siwezi ku date na mwanaume asie na maamuzi au mpole sana au wa yes yes. Mwanaume awe na msimamo. Kwamfano mchumba ako kakosea we ndo unamuomba msamaha, naonaga kwenye movies, i as a woman sipendi hiyo kitu. Sasa wengine wanakupelekesha. Asikwambie mtu, ladies like tough guys, sio wa kupiga piga no ila yule mwanaume nnaejua huyu nikimzingua anaweza kubadilika haswa. Watu soft tunawaonea huruma sana.

So usiwe rude wala usiwe soft uwe mwanaume tu mwenye maamuzi na msimamo. Yaani wewe play part yako kama mwanaume wa mwanamke umtakae. Ukiwa very soft ukapitiliza hutokuja kuoa. Sijui kama nimeeleweka.
 
Maisha ni kuvumilia tu. Mwana FA aliwahi kusema 'ukimtaka wa kwako tu, labda umuumbe mwenyewe au utafute migomba umfunike'. Wewe usiangalie mapungufu yake, jitahidi kuangalia hitaji lako.
 
Sijajua how you operate in your relationships ila ungejifunza kutokana na kilichotokea kwenye hiyo toxic relationship iliyopita.

Mfano, kuna wanaume wanakuwa very submissive kwa wachumba zao, hii inamfanya mdada a take advantage ya upole wako, kuna mwanaume mwengine anakua very rude, hapa napo mdada anakimbia.

Nikijitolea mfano mimi, siwezi ku date na mwanaume asie na maamuzi au mpole sana au wa yes yes. Yaani wewe play part yako kama mwanaume wa mwanamke umtakae. Ukiwa very soft ukapitiliza hutokuja kuoa. Sijui kama nimeeleweka.
Mapenzi hayanaga formula tu mvuta bangi, jambazi, jangiri, mwizi, muuji, mpole, chizi nawengine kibao wapo hapa Duniani wna wapenzi wakudumu na wapenzi wao huwaambii kitu
 
Kwakweli. Kila mtu na anachokiona. Kikubwa brother hapo atulize akili. Sikuwahi kujua kama wanaume nao huwa wanasota na mapenzi hivi
 
Usiwe na mahusiano ya kudum na binadam mzee, we chakata tu.

Fuga tu paka

Binadam wanatakuumiza kichwa

"Solitude is the gift, all others are the test of endurance, of how much you really want to do it" Charles Bukowski

Sent using Jamii Forums mobile app
Utachakata wangapi mkuu, in nature mi nimtu ambae nikisema niwe playboy baada ya mwezi mtanizika, kinacho nitatiza kikubwa unaweza mfata mdada and akasema yes , lkn badae unakuja gundua yupo in serious relationship na mtu, the power to say no haipo kbsa, tatzo sio yy kuwa na mahusiano before sjamuapproach tatzo n yy kustay in multiple relationship ata after kumfata.
 
Sijajua how you operate in your relationships ila ungejifunza kutokana na kilichotokea kwenye hiyo toxic relationship iliyopita.

Mfano, kuna wanaume wanakuwa very submissive kwa wachumba zao, hii inamfanya mdada a take advantage ya upole wako, kuna mwanaume mwengine anakua very rude, hapa napo mdada anakimbia.

Nikijitolea mfano mimi, siwezi ku date na mwanaume asie na maamuzi au mpole sana au wa yes yes. Mwanaume awe na msimamo. Kwamfano mchumba ako kakosea we ndo unamuomba msamaha, naonaga kwenye movies, i as a woman sipendi hiyo kitu. Sasa wengine wanakupelekesha. Asikwambie mtu, ladies like tough guys, sio wa kupiga piga no ila yule mwanaume nnaejua huyu nikimzingua anaweza kubadilika haswa. Watu soft tunawaonea huruma sana.

So usiwe rude wala usiwe soft uwe mwanaume tu mwenye maamuzi na msimamo. Yaani wewe play part yako kama mwanaume wa mwanamke umtakae. Ukiwa very soft ukapitiliza hutokuja kuoa. Sijui kama nimeeleweka.
Mm n very open minded, naexpress feeling zangu , no hard feeling
I express my emotions pia, nna maamuz , very protective when it comes to my beloved one , tatzo ni multiple relationships wanazokuanazo wadada hi kitu inakera,
 
Umeandka kihuni

hujuwi kingereza au hujuwi kiswahili?
Mkuu Huwa napenda kumix lugha, pia huwa natumia sana informal language katika mazingira ya kawaida, ila officially nipo well certified in English language , European frame of references ya lugha ni professional proficiency kbsa just like natives.
 
Mkuu fanya mazoezi ...

Jipende ,nasisitiza Tena jipende wewe ...

Kula chakula safi ,relax ,pumzika ,focus kwenye kazi na biashara ...

Mwanamke usimpe kipaombele sanaa ,akija kwenye maisha nenda nae ,akileta ujinga weka kando wewe songa mbele ,akija mwingine nenda naye akileta ujinga weka PEMBENI wewe songa ....

Hii ndio principal ya maisha ya Sasa ,hakuna mtu wako pekee yako ....

Ukijifanya wewe una huruma na mtoto wa mtu basi utakuja kuumia vibaya mnoo ,utapoteza focus na maisha na tutakupoteza ....
 
Dah!
 
Mkuu Huwa napenda kumix lugha, pia huwa natumia sana informal language katika mazingira ya kawaida, ila officially nipo well certified in English language , European frame of references ya lugha ni professional proficiency kbsa just like natives.
is better to write in one language from beginning to end.this means a lot
 
Back
Top Bottom