FlyingDutchman
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 399
- 794
- Thread starter
- #41
Mazoea mabaya , ila ntajitahd mkuuis better to write in one language from beginning to end.this means a lot
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazoea mabaya , ila ntajitahd mkuuis better to write in one language from beginning to end.this means a lot
[emoji1666]Mazoea mabaya , ila ntajitahd mkuu
jaman wakikupa tips naomba unistue maana nshajichokea vijana hawa wa mama sa100 siwaelewi wanataka niniGuys hi kitu inaitwa solitude (upweke) ni kibaya sana, it's healthy but harmful as well.
This year sababu ya upweke nljikuta nmeingia in a very toxic relationship, huwa inanitesa sana psychologically sababu huwa nashindwa kuwa na power of letting go especially nikimzoea mtu, in nature mimi ni male introvert, an on my 20s.
At this point am single, any advice? Je, nawezaje ingia in a healthy relationship 2023. Please any tips will help.
Dah!😂🙌Kwa kadri ya umr wako maliza shule kwanza achana na mambo ayo
Men have financial clock and women have time clock,Kuwa kwenye mahusiano mazuri kwanza kama umemaliza chuo au upo chuo jiweke katika nafasi ya kufanya kazi jitume na ukiwa unafanya kazi weka malengo na anza kujijenga
Ukiweza kujijajli na kujijenga kidogo kidogo anza tabia ya kujitimizia majukumu yako au ya nyumbani vizuri yaani jifunze uwajibikaji kwenye nafasi ya ubaba au uanaume ukiweza hapo utakuwa umejiweka kwenye sehemu ya kutokuumizwa kimahusiano
Sababu ukiwa una tekeleza majukumu yako na una wajibika mwanaume kuna mambo utajifunza hasa kutoa na kutumia kitu ambacho hakitaweza kukuumiza ukiwa kwenye mahusiano mfano nyumbani umeme umeisha nunua hata wa elfu 5 au 10 chumvi sukari na vingine
Unavaa suruali unaona imechanika nunua nyingine tshirt imefubaa una tafuta nyingine kwa namna hiyo akili inakuwa imeshajiandaa ili uweze kumhandle mtu mwingine na majukumu yako kwa pamoja sababu hautashangazwa pale ambapo bill inakuja mtu anataka kusuka au ana shida sio tuu mpenzi hadi marafiki na ndugu akili itapanuka
Sasa vijana wengi wanaingia kwenye mahusiano wakiwa hawawezi hata kujitunza na kutunza mazingira wanayo ishi hata kama ni nyumbani mwisho wanaona kama wanateseka na kunyimwa uhuru wana amua kuondoka na kwenda kupanga kinacho tokea kwenye kupanga kijana yule asubuhii yupo geto mchana njaa ikiuma anarudi nyumbani kula anazuga mpaka usiku anakula nyumbani tena muda ukienda anarudi kulala alipo panga
Na hii ndio chanzo sasa cha kelele na vilio vilivyo mtaani wadada wanataka maisha ya instagram na tiktok huku vijana hawezi timiza sababu wanashindwa jihudumia wenyewe na kuwa wawajibikaji wa maisha yao atawezaje kukuhudumia wewe nguo au nywele za laki moja wakati yeye hana hata suruali mpya ndani ya miezi sita anaona kwamba una mchuna na ni malaya hapo ndio vita inapoanzia
Dada anapata mzee sababu anatamani anayo yaona na kuayasikia kijana wa kiume unaona maisha ni stress na toxic unaamua kutokujali bila kusahau msichana huyo ulienae bado atakupa penzi kwa huruma uhudumii lakini anakupa sababu ya huruma na mzunguko wa magonjwa unaendelea
Funzo au jambo muhimu
Ni kuanza kujihudumia na kutatua changamoto za nyumbani au sehemu unayo ishi na kuweza kutatua matumizi madogo madogo ya kila siku ukiona umeweza basi tafuta mtu ili pia hata ukiishi nae usione umeweka mzigo ndani au ukaanza kulalamika mtu fulani anatumia kitu hichi bila mahesabu pasipo kujua mtu ameongezeka na bajeti itaongeza kwako mtoto wa kiume au kijana wa kiume bila kusahau kufanya kazi
una degree na mchongo hautiki anzia chini maisha ni ngazi hakuna anaepata yote kwa pamoja maana kusoma sio kigezo cha kuwa na maisha mazuri na ipo siku utayafanya yote ndani yavsiku moja hapana anaza kutafuta kidogo na kwa amani
Nisiendelee naona haya yanatosha
KazanaMen have financial clock and women have time clock,
Kwa kifupi nipo on second step, financial clock! And am doing good so far!
Ulichokiandika it's one of the best relationship tips , nakuunga mkono mkuu,
Dah I came to this very late lakini umeelezea kwa kina sana na hapa vijana wengi wana la kujifunza, thanks so much for the time you took to write all of this.Kuwa kwenye mahusiano mazuri kwanza kama umemaliza chuo au upo chuo jiweke katika nafasi ya kufanya kazi jitume na ukiwa unafanya kazi weka malengo na anza kujijenga
Ukiweza kujijajli na kujijenga kidogo kidogo anza tabia ya kujitimizia majukumu yako au ya nyumbani vizuri yaani jifunze uwajibikaji kwenye nafasi ya ubaba au uanaume ukiweza hapo utakuwa umejiweka kwenye sehemu ya kutokuumizwa kimahusiano
Sababu ukiwa una tekeleza majukumu yako na una wajibika mwanaume kuna mambo utajifunza hasa kutoa na kutumia kitu ambacho hakitaweza kukuumiza ukiwa kwenye mahusiano mfano nyumbani umeme umeisha nunua hata wa elfu 5 au 10 chumvi sukari na vingine
Unavaa suruali unaona imechanika nunua nyingine tshirt imefubaa una tafuta nyingine kwa namna hiyo akili inakuwa imeshajiandaa ili uweze kumhandle mtu mwingine na majukumu yako kwa pamoja sababu hautashangazwa pale ambapo bill inakuja mtu anataka kusuka au ana shida sio tuu mpenzi hadi marafiki na ndugu akili itapanuka
Sasa vijana wengi wanaingia kwenye mahusiano wakiwa hawawezi hata kujitunza na kutunza mazingira wanayo ishi hata kama ni nyumbani mwisho wanaona kama wanateseka na kunyimwa uhuru wana amua kuondoka na kwenda kupanga kinacho tokea kwenye kupanga kijana yule asubuhii yupo geto mchana njaa ikiuma anarudi nyumbani kula anazuga mpaka usiku anakula nyumbani tena muda ukienda anarudi kulala alipo panga
Na hii ndio chanzo sasa cha kelele na vilio vilivyo mtaani wadada wanataka maisha ya instagram na tiktok huku vijana hawezi timiza sababu wanashindwa jihudumia wenyewe na kuwa wawajibikaji wa maisha yao atawezaje kukuhudumia wewe nguo au nywele za laki moja wakati yeye hana hata suruali mpya ndani ya miezi sita anaona kwamba una mchuna na ni malaya hapo ndio vita inapoanzia
Dada anapata mzee sababu anatamani anayo yaona na kuayasikia kijana wa kiume unaona maisha ni stress na toxic unaamua kutokujali bila kusahau msichana huyo ulienae bado atakupa penzi kwa huruma uhudumii lakini anakupa sababu ya huruma na mzunguko wa magonjwa unaendelea
Funzo au jambo muhimu
Ni kuanza kujihudumia na kutatua changamoto za nyumbani au sehemu unayo ishi na kuweza kutatua matumizi madogo madogo ya kila siku ukiona umeweza basi tafuta mtu ili pia hata ukiishi nae usione umeweka mzigo ndani au ukaanza kulalamika mtu fulani anatumia kitu hichi bila mahesabu pasipo kujua mtu ameongezeka na bajeti itaongeza kwako mtoto wa kiume au kijana wa kiume bila kusahau kufanya kazi
una degree na mchongo hautiki anzia chini maisha ni ngazi hakuna anaepata yote kwa pamoja maana kusoma sio kigezo cha kuwa na maisha mazuri na ipo siku utayafanya yote ndani yavsiku moja hapana anaza kutafuta kidogo na kwa amani
Nisiendelee naona haya yanatosha
Ahsante sana FlyingDutchmanDah I came to this very late lakini umeelezea kwa kina sana na hapa vijana wengi wana la kujifunza, thanks so much for the time you took to write all of this.