Vidonda vya tumbo vinaanza kurejea, nifanye nini kukabiliana na changamoto hii?

Rose tesha

New Member
Joined
Apr 5, 2023
Posts
2
Reaction score
0
Msaada,

Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa na vyakula ambavyo natakiwa nisitumie na mpangilio wa kula, kweli nikafanya hivyo baada ya miezi sita tatizo likaisha kabisa nikaja nikapata ujauzito.

Sasa hivi nimejifungua, nina wiki tatu sasa Ile nakula sana ili nipate maziwa ya mtoto tatizo naona linaanza kujirudi polepole, nifanyeje jamani ili mtoto aweze kupata maziwa ya kutosha?
 

Piga nambar hii nikusaidie 0714267658
 
Pole kula makabichi na relcer medicine itakusaidia πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…