Vidonge vya Majira

Vidonge vya Majira

Huyo anazuga anachepuka ila anaogopa mtoto akizaliwa mume wake anaweza kwenda kwa mkemia kupima DNA na mkemia alivyo nuksi ukifika anapima kama ushatumia tu manji. Ndo maana ana haraka hata kasahau kuclick au siyo princess ariana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]
 
usitumie dawa yoyote kwa vile ulikuwa na uti na ndo umepona tulia kwanza ila kula vizuri jipe kama miezi sita hiv
sawa nitajitahidi
waweza niambia nile vyakula vya aina gani?
maaana kwetu chapati kila asubui
mchana ugali daily , jioni wali tuu..
nahisi kama nalo tatizo mlo mmoja daily
 
sawa nitajitahidi
waweza niambia nile vyakula vya aina gani?
maaana kwetu chapati kila asubui
mchana ugali daily , jioni wali tuu..
nahisi kama nalo tatizo mlo mmoja daily
kanunue majani ya giligilini chemsha hayo majani. unywe maji yake kwenye kikombe kwa siku tatu mfululizo utaona mafanikio
 
Pole sana mdada ila sio fashion katumia majira kwanza ni bora kabla ya katumia dawa yoyote inakubidi ujue action in the body then side effects alafu tatzo la uti kuna drug inaitwa amoxyclavu ni latest version drug ni nzuri sana kwa uti Pia ukianza dose mfano uti usiache dose unasababisha resistance ya bacteria kwa specific drug hivyo hufanya tatzo kuwa sugu
 
imepona...uti sina
 
Habari waungwana.
nmeanza kutumia vidonge vya majira ili kurekebisha mfumo wa siku zangu...

Je, zina ubaya wowote?
nitegemee madhara gani au athari gani kutokana na hizi dawa.
(nna mpango wa kuzitumia miezi mi2 tu)
Usipende sana kuvitumia maana sio vizuri
 
Back
Top Bottom