Vidume tuliopitia kwa ngariba bila ganzi tukutane hapa kukumbushana yale maumivu!

Hiii ni hatari mkuu! Maumivu yale alaf anapumzika, anakuja kumalizia baadae!! Du! Huku kwetu tungetoka mita aises na kipisi!![emoji125] [emoji125] [emoji13] [emoji13]
 
Hospitali sawa, ila wasitumie ganzi![emoji13] [emoji13]
 
Nadhani mfumo ungekuwa hatarishi kwa mazingira ya sasa kutokana na wingi wa magonjwa yaliyopo, ila kiukweli maumivu yake kipindi hicho bora watoto wa ganz wa kipindi hch
Watoto wa sasa hivi hata mimi nimeshapata wasiwasi nao. Wengine wanaweza kukufia. Haya masindano yamewafanya wawe maskrepa. Na wengi sio majasiri, ukilifichia hata rimoti tu ya TV yanalia, badala ya kuitafuta!![emoji23]
 
mmh hivi wanaume mnaruhusiwa kumbe kutoa siri za jandoni ingekua mwanamke tungekuita msungo ila wanaume sijui mnaitwaje
Kutahiriwa ni siri?! Au ulivyotahiriwa hakuna aliyejua hapo kwenu?![emoji52]
 
Duh! Nyie ndio mnakujaga kutoa hata Siri za jeshini...... Hamfai Kabisa...... She***zy
Nilitegemea kukutana na vichwa goroli kama wewe! Kutahiriwa ingekuwa siri serikali ingetoa ofa ya bure kwa wenye magovinda?! Ningeeleza mambo yote yaliyofanyika baada ya tendo sawa! Kutahiriwa ni kitendo tu mkuu sawa na kufyatua risasi, kitu ambacho hata jambazi asiyejua siri za jeshi anajua!! Uwe unafikir kwanza alaf ndio unakoment. Sio unakoment alaf ndio unafikir! Na hilo neno She***zy kaa nalo naamini ndio saizi yako!
 
mtoa mada hajaongea kuhusu hospital ni jandoni hiyo
Usinilishe maneno. Pitia tena kwenye posti yangu. Ukikuta neno jandoni, nishtue. Mi nimepngelea kutahiriwa bila ganzi. Kwahiyo ngariba akija kukutahiria bila ganzi nyumbani kwenu na kukuacha ukahudumiwa na wazazi wako, hapo ni jandoni?! Soma heading vizuri! Haijaandikwa wale tulioenda jandoni.
Sababu ya kukariri ndio maana pombe alivyokaza nati, kila mtu anahemea pua moja!
 
Mimi sisemi, lkn katu mtoto wangu sitamfanyia kama vile, huwa nikikumbuka mwili unatoa vipele vya msisimko. From Sokon one Arusha
 
Watoto wa sasa hivi hata mimi nimeshapata wasiwasi nao. Wengine wanaweza kukufia. Haya masindano yamewafanya wawe maskrepa. Na wengi sio majasiri, ukilifichia hata rimoti tu ya TV yanalia, badala ya kuitafuta!![emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jando liacheni liitwe jando , siri za jando sitozitoa Nahisi Yale maumivu yatajirudia, ila ss tuliotahiriwa kienyeji nasikia tuna katofauti flan kunako 6*6
 
Kutahiriwa ni stori nyingine aseee!
Kuna mzee mmoja alisema endapo kama kuna marudio ya kutahiriwa japo kufanya marekebisho kidogo anaweza kupiga mtu mshale kabisa endapo akitaka kumpeleka kutahiriwa.

Mkosi unakuja kwenye kuja namna ya kutunza kidonda ili kipone, kwetu kila ikifika saa kumi na moja alfajiri mnaamushwa na kutolewa nje mkapigwe baridi tena mkiwa pekupeku na mnapelekwa kwenye sehemu yenye mchanga uliona na umande, ukiukanyaga huo mchanga unajikuta umepigwa ganzi huku miguu na pammoja na mapaja yanatetemeka bila wewe kuyashurutisha. Muda huo unapewa Tshirt ua shati jepesi la kuvaa halafu mwili mzima uko wazi.
 
Jando liacheni liitwe jando , siri za jando sitozitoa Nahisi Yale maumivu yatajirudia, ila ss tuliotahiriwa kienyeji nasikia tuna katofauti flan kunako 6*6
Sanaaa. Kwanza kichwa kinapanuka
Halafu kunakuwa rough.
 
mwandiko wako waki govi govi
 
mmh hivi wanaume mnaruhusiwa kumbe kutoa siri za jandoni ingekua mwanamke tungekuita msungo ila wanaume sijui mnaitwaje
Pole kwa kukeketwa ndyo maana huwa hufiki kileleni
 
Ighikebhi nkebhe......mm congezi neno, hii kitu imenifanya najiamini hadi napitiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…