Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Movie box wajinga kuna movies nyingi kalikali hawawekiMedeberiyaa
Moviemod
Yts
Goojara
Piratesbays
Magnet dl
Awafi
Nkiri
Today tv series one
Apk
Onstream
Moviebox
Kwa iphone
Hdo box
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Movie box wajinga kuna movies nyingi kalikali hawawekiMedeberiyaa
Moviemod
Yts
Goojara
Piratesbays
Magnet dl
Awafi
Nkiri
Today tv series one
Apk
Onstream
Moviebox
Kwa iphone
Hdo box
Kati ya hizi ipi yenye subtitles za kiingereza?Medeberiyaa
Moviemod
Yts
Goojara
Piratesbays
Magnet dl
Awafi
Nkiri
Today tv series one
Apk
Onstream
Moviebox
Kwa iphone
Hdo box
Tumia hizo zingine nilizo taja hapo bosiMovie box wajinga kuna movies nyingi kalikali hawaweki
Zote Kuna subtitles mkuu kama hamna unaweza kudownload kutoka website zingine hizo srt mkuu Rahisi sana kupataKati ya hizi ipi yenye subtitles za kiingereza?
Wameonewa NitawateteaAnayedaiwa kumiliki na kuendesha tovuti haramu ya kusambaza filamu maarufu ‘FMovies’ mapema mwezi uliopita alitambulishwa baada ya kukamatwa na Polisi wa Mji wa Hanoi nchini Vietnam kufuatia uchunguzi wa muda mrefu.
Phan Thanh Cong, 34, raia wa Vietnam aliyekamatwa na mshirika wake, Nguyen Tuan Anh, wanasemekana waliendesha tovuti hiyo na kujizolea ‘pesa nyingi’ kutokana na matangazo.
Hii ni kwa mujibu wa Torrentfreak, tovuti inayofuatilia habari za hakimiliki mtandaoni.
Tovuti ya Fmovies iliyofungwa na mamlaka ya Vietnam mwezi Julai 2024, ilihudumu tangu 2016 na inadaiwa kusambaza filamu na vipindi vya televisheni takriban 50,000 bila leseni kutoka kwa watayarishaji na wamiliki halali.
Kulingana na Motion Picture Association (MPA) na Alliance for Creativity and Entertainment (ACE), FMovies na tovuti zingine chini ya mwamvuli wake ndizo zilikuwa vyanzo vikubwa zaidi ulimwenguni vya usambazaji haramu wa filamu, ikivutia zaidi ya watumiaji bilioni 6.7.
Disemba mwaka 2023, Makamu wa Rais Mtendaji Mkuu wa Motion Picture Association (MPA), Karyn Temple, alifika mbele ya kamati ya bunge la Marekani, na kuonesha jinsi tovuti hiyo ilivyokuwa ikifanya kazi, akidai kuwa FMovies ilichangia kusababisha hasara ya dola bilioni 29.2 kwa mwaka katika sekta ya filamu ya Marekani maarufu Hollywood.
ACE na MPA ziliandikia barua Idara ya Polisi ya Hanoi kuwashukuru kwa kumkamata Cong, ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya kukiuka hakimiliki.View attachment 3189597
Na VPN gani nzuri lakini ya bure?Medeberiyaa
Moviemod
Yts
Goojara
Piratesbays
Magnet dl
Awafi
Nkiri
Today tv series one
Apk
Onstream
Moviebox
Kwa iphone
Hdo box
Secure VPNNa VPN gani nzuri lakini ya bure?
FZ walikua kibokoAnayedaiwa kumiliki na kuendesha tovuti haramu ya kusambaza filamu maarufu ‘FMovies’ mapema mwezi uliopita alitambulishwa baada ya kukamatwa na Polisi wa Mji wa Hanoi nchini Vietnam kufuatia uchunguzi wa muda mrefu.
Phan Thanh Cong, 34, raia wa Vietnam aliyekamatwa na mshirika wake, Nguyen Tuan Anh, wanasemekana waliendesha tovuti hiyo na kujizolea ‘pesa nyingi’ kutokana na matangazo.
Hii ni kwa mujibu wa Torrentfreak, tovuti inayofuatilia habari za hakimiliki mtandaoni.
Tovuti ya Fmovies iliyofungwa na mamlaka ya Vietnam mwezi Julai 2024, ilihudumu tangu 2016 na inadaiwa kusambaza filamu na vipindi vya televisheni takriban 50,000 bila leseni kutoka kwa watayarishaji na wamiliki halali.
Kulingana na Motion Picture Association (MPA) na Alliance for Creativity and Entertainment (ACE), FMovies na tovuti zingine chini ya mwamvuli wake ndizo zilikuwa vyanzo vikubwa zaidi ulimwenguni vya usambazaji haramu wa filamu, ikivutia zaidi ya watumiaji bilioni 6.7.
Disemba mwaka 2023, Makamu wa Rais Mtendaji Mkuu wa Motion Picture Association (MPA), Karyn Temple, alifika mbele ya kamati ya bunge la Marekani, na kuonesha jinsi tovuti hiyo ilivyokuwa ikifanya kazi, akidai kuwa FMovies ilichangia kusababisha hasara ya dola bilioni 29.2 kwa mwaka katika sekta ya filamu ya Marekani maarufu Hollywood.
ACE na MPA ziliandikia barua Idara ya Polisi ya Hanoi kuwashukuru kwa kumkamata Cong, ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya kukiuka hakimiliki.View attachment 3189597
Mkuu hakunaga kibali cha ku download free movies siku hiziFaida inakuja pale wadau wanapokuja kubeba mzigo kwenye website yako kibali nafikiri wanatoa wenyewe wanasema hivi
Contact the copyright holder directly, or contact the distributor if the distributor has the authority from the copyright owner to grant licenses .
Hauna unachojua nduguMkuu hakunaga kibali cha ku download free movies siku hizi
Siku hizi ni mwendo wa ku subscribe kwenye streaming platforms kama NETFLIX,MAX,HULU,APPLE TV+, STARZ, AMAZON nk nk
Mkuu NIELIMISHE natamani kujua zaidiHauna unachojua ndugu
Asilimia 100 ya watu duniani wanatumia free site hakuna downloading kupungua wanaongoza kuchakachua movie ni sie tuna download na hauwezi kuzuia uchakachuaji kwenye movie na series Dunia ya sasa ndio maana ili uweze kusambaza movie inatakiwa upate vibali kwa sasa ukipata hautapata tabu sanaMkuu NIELIMISHE natamani kujua zaidi
Nijuavyo mimi siku hizi movies ni mwendo wa streaming kwa akina Netflix and the co kwasababu downloading zinapunguza mapato watu wataanza kurushiana tu file
Hizi ni baadhi tuMkuu kama hutojali share na sisi wengine tuzifahamu
Hizi ni baadhi tuMkuu kama hutojali share na sisi wengine tuzifahamu
Shukrani kiongozi nitazizingatiaHizi ni baadhi tu
Mobile Movies
www.onstream.so
Kupata movie/series unayoitaka ni uhakika 100%
Twende kazi 👇🏻
1. Netnaija
~Unapata series/movie ikiwa na Mb chache pamoja na quality nzuri.
~ndani ya site unaweza kupakua subtitles.
netnaija.com
Medeberiyaa
~Inakupa option ya kupakua series/movies katika quality unatoitaka (480p, 720p na 1080)
~Kwa baadhi ya browser unaweza kutazama online (UC Browser).
medeberiyaa.com
Today TV Series
~Zinapatikana series pekeyake
~Unapata series ikiwa na Mb chache pamoja na quality nzuri (480p).
~Ndani ya site unaweza kupakua subtitles.
~Files za series zinakuja katika mfumo wa Rar, hivyo ni muhimu kuwa na app ya Rar ili uweze ku-extract hizo files.
todaytvseries1.com
Yts Tv Movies
~Quality 480p, 720p, 1080p 2160p/4k & 3D
~Inahitaji Torrent kupakua movies/series.
~Muhimu kutumua VPN.
ytstvmovies.co
Nkiri
~Unapata movie/series zikiwa na quality ya 480p na 720p.
~Mb chache pamoja na quality nzuri.
~Movies/Series za Kikorea zinapatikana kwa wingi.
nkiri.com
1377x
~Inahitaji Torrent kupakua movie. (Kupitia Uc Browser unaweza kupakua bila Torrent app).
~Muhimu kutumua VPN.
www.1377x.to/popular-movies
Movie Mora
~movies na series zinapzatikana na quality nzuri.
~Pia unaweza kutazama online bure ikiwa HD.
Moviemora.com
Nolly Verse
~inakupa list ya mafaili ya series/movies katika mpangilio wa alfabeti.
~Ukiingia kwenye website nenda chini kabisa utakuta options za kuchangua kama unataka series, movies n.k
nollyverse.com
Fou Movies
~Quality 720p
~Movies na Series zinapatikana.
foumovies.com
Bee Tv & Tea Tv
~Hizi ni application zinazopatikana kwenye simu za adroid tu lakini hazipatikani Playstore.
~Ukitaka kupakua nenda google andika “Bee Tv apk” au “Tea Tv apk” kisha upakue file na ku-istall katika simu yako.
~Kupitia application hizi unaweza kutazama Movie/Series ndani ya app na unapata option ya kuweka subtitles .
~Quality yeyote unaipata (360p, 480p, 720p na 1080p).
~baadhi ya movie/series unweza kupakua hapohapo kwenye app ila kuna baadhi zinahitaji external app.
~Unaweza kupakua kwa kutumia external app kama “ADM” na “One Downloader” (Zote zinapatikana Playstore
- Tovuti hii ilijengwa kwa ajili ya watu wanaotumia simu za kawaida(mobile), Sinema Zote Zipo Katika Muundo Wa Simu - Za Kawaida(Mobile), Unaweza Kutazama Au Kupakua,Sinema Ambazo Zipo Bollywood Movies, Hollywood Movies, South Movies, Bengali Movies, Marathi Movies, WWE Matches, TV shows, nk.
3. Avi Mobile Movies HD
- Ni tovuti ya sinema ya bure ambayo unaweza kupata kutoka kwa simu yako wakati wowote, Sinema Ambazo
- Zinapatikana Hollywood, Bollywood movies, animated films, TV shows, fights, matches, nk.
4. Latest Bollywood, Hollywood DVDRip, Dual Audio, Hd mp4 3gp Movies - moviespur.info
-Ni Tovuti iliyozinduliwa hivi karibuni ambayo imekuwa maarufu kwa sababu ya muonekano wake kwa mtumiaji(user - interface), Inakasi kwenye kupakua sinema.
5. HDMp4Mania | Free Download Bollywood, Hollywood, Hindi Dubbed Movies, WWE, TNA, PPV, Wrestling Shows, Indian Web Series, Indian TV Shows and much more in HD Mp4 Mobile Format
- Upakuaji wa Bure Bollywood, Hollywood, Sinema zilizopachikwa Hindi, WWE, TNA, PPV, Maonyesho ya -Mapambano, Mfululizo wa Wavuti za India, Maonyesho ya Runinga ya India na mengi zaidi katika HD Mp4 Mobile -Format
Nitaendelea kuongeza nyingine baadae
Download app inaitwa onstream inapatikana pia play store hii ina movie zote mpya hapa nimetoka kumaliza kuangalia squid game s2Dah,kumbe ndiyo maana siku hizi inanigomea.
Imeniokoa sana hii,99% ya movie zangu nilizichukua humu na niliifahamu humu humu jamvini,wakuu basi wekeni nyengine za kupakulia movies tuishi nazo.