WAKATI Tanzania imehamanika na hali mbaya ya kifedha ilizokumba mabwana zake nje na haina mkakati unaoeleweka wa kunusurika bila mabwana zake kunusurika kwanza Vietnam nchi ambayo jana na juzi ilikuwa 'Gza' mara mia ya hii ya leo imekuja na mpya.
Baada ya kuona wasichana wao wanaolewa katika fungate zinazoishia binti hao kunyanyaswa na kugeuzwa jamvi la wazungu huko Ulaya wao wamekwenda hatua moja mbele kwa kuzindua idara maalum ya kupokea posa toka kwa watu wa nje wanaotaka kuoa binti wazuri na poteboo wa Kivietnam.
Sijui JF kama wajumbe wana wazo la kibiashara hapa au kutuonesha uzuri tu, lakini uzuri ebo, weye bwana hauliwi eti!
Hili linatufundisha jambo moja kwamba tukiwa watundu tunaweza kufanya biashara ya rasilimali watu.
Una habari kwamba Cuba inapata sio chini ya bilioni 500 kila mwaka kwa kukodisha madaktari, wanajeshi, walimu na wahandishi nchi za nje?
Amkeni hii ni saa 5 asubuhi sio 11 jamani?