View ya Dar es salaam kutokea floor namba 36 TPA Tower

View ya Dar es salaam kutokea floor namba 36 TPA Tower

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Leo jioni nimepata fursa ya kufika floor namba 36 TPA Tower na hii ndio view yake
PXL_20240719_143941788.jpg

Huu ni upande wa kariakoo.
 
Leo jioni nimepata fursa ya kufika floor namba 36 TPA Tower na hii ndio view yake View attachment 3046513
Huu ni upande wa kariakoo.
Safi sana, Camera Nzuri, Mpiga Picha mzuri, Location nzuri hapa lazima macho yafaidi. Hilo jengo la TRC kama godown la milipuko hapo pembeni ya SGR linatia kichefu chefu imefika wakati lipigwe tindo.
Naiona Jangwani na mafuriko yake kwa mbaaaali
 
Back
Top Bottom