Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Yeah View Nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah View Nzuri
Na kipato je?Kwa picha hii hatujatofautiana xnaa na new York city
Mama Samia anaupiga mwingiFafanua
Amen.Ashukuriwe samia suluhu kwa picha nzuri.
Weka pande zote ikiwezekana na stesheniLeo jioni nimepata fursa ya kufika floor namba 36 TPA Tower na hii ndio view yake View attachment 3046513
Huu ni upande wa kariakoo.
Ni wapi hapaView mbaya sana hiyo.angalia hii
Hapa ni tehranNi wapi hapa
Kama KabulLeo jioni nimepata fursa ya kufika floor namba 36 TPA Tower na hii ndio view yake View attachment 3046513
Huu ni upande wa kariakoo.
Hata wewe umeona!! Ghorofa za Dar nyingi zimechakaa. 😜😜😜😜vighorofa vichakavu vichakavu🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi hizo floor zote zinatumika au zingine zishakuwa kichaka Cha ndege na buibui?Leo jioni nimepata fursa ya kufika floor namba 36 TPA Tower na hii ndio view yake View attachment 3046513
Huu ni upande wa kariakoo.
Nice view hiyo ndio posta yenyewe