View ya Dar es salaam kutokea floor namba 36 TPA Tower

View ya Dar es salaam kutokea floor namba 36 TPA Tower

Safi sana, Camera Nzuri, Mpiga Picha mzuri, Location nzuri hapa lazima macho yafaidi. Hilo jengo la TRC kama godown la milipuko hapo pembeni ya SGR linatia kichefu chefu imefika wakati lipigwe tindo.
Naiona Jangwani na mafuriko yake kwa mbaaaali
Mkuu shukurani kuhusu camera ni Google Pixel 4a.
 
Picha moja tu mkuu?
Ndio mkuu picha yenyewe ya kuibia wenye mamlaka hawachelewi kukupokonya simu kwa kigezo nani kakupa kibali Cha kupiga picha.. kimsingi Kuna view nzuri pia upande wa bahari kigamboni yote unakuwa unaiona
 
Kwa mamlaka niliyonayo, nakupa ruhusa ya kupiga picha siku nzima kwenye hilo jengo
 
Back
Top Bottom