Views za Harmonize YouTube kupanda ghafla zinatia shaka

Endelea mzee lkn SANDAKALAWE huwezi ifananisha na upuuz woote alioimba kiba na Mondi kamwe.

Nlikua sijazisikiliaza nlipozidownload jana nmecheka sana.

Kiba hapambanii mziki wake anajua jina analo.

Mond mziki umeisha amebaki kuimba upumbavu tuu. Matusi mengi melody ya hovyo

Konde Boy sound good, Vocal za maana mziki wenye radha. Kijana anapambana.

Hapana unafiki hapo juu nlipoandika nimejaribu kugenelise tuu.
 
Kama mziki wake ni mzuri kwanini ananunua viewers?
 
Huyu mtoto fala sana na cjui anapata faida gan aiseee! jana kabla ya gemu la simba na yanga tulikuwa na mshkaji angu, tukaview, alikuwa ana 1.9M+!

Night baada ya kutoka kwny game ya ukraine na uingereza jamaa yangu akanambia sandakalawe imefikisha views 3.8M+...

Just imagine, masaa km 8 hv inapata views karibia 1.9M+ na sio new release,

Hapa kuna namna mmakonde anafanya sio bure.!
Hawa wamakonde wanataka kutuharibia mziki wetu
 
Sure alafu kwanini trending asiwe no1? Kuna walakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…