Views za Harmonize YouTube kupanda ghafla zinatia shaka

Views za Harmonize YouTube kupanda ghafla zinatia shaka

Harmonize ni msanii nguli na namba moja wa bongo fleva sasa mnashangaa nini kuwapita hao kina dimondi na ali kiba kwa views ?
 
Huyo Harmonise anaakili mbovu mtu alie toa ngoma nae pamoja eti yuko #01 o ntrendingi yeye yuko #04

Huku ikiwa zuchu anashikilia 1.8m
na harmo 4.2

Hii kumaanisha views wa harmonize awatokei tanzania je wanatokea wapi

Ambako harmonise anajulikana mno kuliko tanzania ukweli ni kwamba mchezo anaoufanya ni hatari kwake maana youtube huwa wapo makini ipo siku atasaga menoo
 
Tuwekee risiti ya efd inayonesha manunuzi ya views

Kununua views ni kitu cha siri na wala youtube wenyewe hawa ruhusu hiloo wakikusanukia ni mbaya sana ila harmo ananunua kweli mi ninakupa mfano tu kwakua nina experienc na utube ni hivi harmo ana views kuwapita woote waliotoa nyimbo nyuma yake na alietoa nyimbo pamoja nae lakini kwa upande wa youtube unaelezea nini kimefanyika maana trending huenda kwa taifa sasa inaonyesha Harmonise kwa Tanzania anashika namba nne sasa jiulize hao views wengine amewatoa wapi na ni wa nnchi gani kwa wazo naweza nikasema india sieti eenh maaana wa hindi kwa mambo za kukuzia watu views like hawajambo sawa sasa kwanini hayuko ontrending india hapo nakuambia tu video ilioko india ontrend ina views million 116 ikifuatiwa na yapili ina millioni 19 [emoji1787][emoji1787] sasa mjomba nnchumali views wake unafikili wanatoka nnchi ganii au kenyaaa [emoji1787][emoji1787] maana kenya nakoo ndo yale yale yuko nyuma tuuu
 
Trending zinawekwa kitaifa hiizo inaweza kuwa na more views lakini umetrend zaidi congo,Kenya na Uganda but Tanzania umezidiwa kwenye trending kwahio utaonekana upo chini trending Tanzania lakini katika hizoo nchi nyingine ukawa juu zaidi

Harmonize anafuatiliwa sana uganda kenya kuliko tanzania mmmnh ila sema kote huko nimepita hamna kituu booster imehusika hapoo mimi shabiki yake kindaki ndaki ila youtube naifahamu vyema hapo katupiga changaa
 
Hapa shida ni Moja Sasa kipindi Cha nyuma watu walilalamika kuhusu WCB kununua Views tukaambiwa hakuna mtu mwenye uwezo wa kununua Views sasa ebu twambieni mfanye nini Ili mle matapishi yenu tuanze kuamini Ile kauli ya nyuma ambayo mliikana nyinyi wenyewe
 
Endelea mzee lkn SANDAKALAWE huwezi ifananisha na upuuz woote alioimba kiba na Mondi kamwe.

Nlikua sijazisikiliaza nlipozidownload jana nmecheka sana.

Kiba hapambanii mziki wake anajua jina analo.

Mond mziki umeisha amebaki kuimba upumbavu tuu. Matusi mengi melody ya hovyo

Konde Boy sound good, Vocal za maana mziki wenye radha. Kijana anapambana.

Hapana unafiki hapo juu nlipoandika nimejaribu kugenelise tuu.
Mzee iv kuimba ninataka'tooo'si tusi hilo.?kwel umelewa uongo
 
mpaka waNaija wame ona waingilie kati
khaaaaha
njomba njomba nchumalii

they call me number One So Much money in the Bank money
Screenshot_20210705-103859_Instagram.jpg
Screenshot_20210705-103911_Instagram.jpg
 
Huyu mtoto fala sana na cjui anapata faida gan aiseee! jana kabla ya gemu la simba na yanga tulikuwa na mshkaji angu, tukaview, alikuwa ana 1.9M+!

Night baada ya kutoka kwny game ya ukraine na uingereza jamaa yangu akanambia sandakalawe imefikisha views 3.8M+...

Just imagine, masaa km 8 hv inapata views karibia 1.9M+ na sio new release,

Hapa kuna namna mmakonde anafanya sio bure.!
Hawa wamakonde wanataka kutuharibia mziki wetu
[emoji3][emoji3]izi lawama kashapewa sana mondi
 
Lilivyo lijinga baada ya kuona its too much. Kawambia wasimamishe robot, now imekwama kwenye 3.8.
Nadhani itakuwa kawaambia now waanze kupandisha likes.

Ambao wako jikoni wanampikia hizo data nadhani hesabu iliwapiga chenga.
Kwani likes huwa zinaendana na viewers
 
Harmonize anajitekenya na kujicheka maenyewe. Kwa watu wenye uelewa kuhusu haya mambo (Acha wazee wa ushabiki) wanaona kabisa kuwa anadanganya. Mziki wetu huu una safari sana, walio karibu nae wamshauri, anaaibika.
Mondi alishaambiwa sana haya mambo
 
huyo harmonise anaakili mbovu mtu alie toa ngoma nae pamoja eti yuko #01 o ntrendingi yeye yuko #04

huku ikiwa zuchu anashikilia 1.8m
na harmo 4.2

hii kumaanisha views wa harmonize awatokei tanzania je wanatokea wapi

ambako harmonise anajulikana mno kuliko tanzania ukweli ni kwamba mchezo anaoufanya ni hatari kwake maana youtube huwa wapo makini ipo siku atasaga menoo
Kama mondi kashindwa kusaga meno basi dogo nae hatosaga meno....
 
Hivi hamjawahi kuona nyimbo Ina views laki na haijulikani ,lakini msanii mwenye followers wengi anaweka Instagram au fb akiicheza na unakuta ana followers Kama mil 4 gafla watu wanaenda kuviews na viewers kupanda gafla.

Inawezekana kanunua au hajanunua but hata mondi alikuwa anapita humo humo na kusema views hazinunuliwi.
 
Sasa hivi kafikisha views mil 4.3
 
Hivi hamjawahi kuona nyimbo Ina views laki na haijulikani ,lakini msanii mwenye followers wengi anaweka Instagram au fb akiicheza na unakuta ana followers Kama mil 4 gafla watu wanaenda kuviews na viewers kupanda gafla.

Inawezekana kanunua au hajanunua but hata mondi alikuwa anapita humo humo na kusema views hazinunuliwi.
Jana mpk mida ya saa 12 ilikua na views 4.2 mpk leo yameshapita masaa 24 wameongezeka views laki 1 tuuh
Screenshot_20210705-192240_YouTube.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Trending zinawekwa kitaifa hiizo inaweza kuwa na more views lakini umetrend zaidi congo,Kenya na Uganda but Tanzania umezidiwa kwenye trending kwahio utaonekana upo chini trending Tanzania lakini katika hizoo nchi nyingine ukawa juu zaidi
Sasa huko unakokuzungumziwa hata top 20 hakuwepo labda sijui kwa sasa
 
Back
Top Bottom